Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
[emoji2][emoji2]dah inauma kiukweliTanga wanaita Soni- Mombo (kupenda mserereko)Jamaa mshenzi sana hapo ukute kala msosi kwanza bure, kajifutia taulo la jamaa, na pia kala mashine bure, kalala kwenye kitanda cha jamaa na kaambiwa kojolea nje nisipate mimba kachafua shuka za watu, hapo unaponaje kwa mfano.