Haitokuja kutokea,Tanga ndio mkoa wenye diaspora wengi kuliko mkoa wowote nchini..sijawahi kusikia wananchi wa Tanga wakikabiliwa na njaa, au kuomba msaada serikalini.
Haitokuja kutokea,Tanga ndio mkoa wenye diaspora wengi kuliko mkoa wowote nchini
Wamezagaa south africa,uarabunu,america na ukaya,kika mara wanatuma hela nyumbani,ni kama zanzibar tu
Mbona hata Arusha,Dar, Dodoma zinaendelea lakini wenyeji siyo walioleta mapinduzi makubwa ya maendeleo ?
Issue hapa ni serikali wameshindwa kupeleka maendeleo ya kweli, mashamba ya mkonge yamekufa, viwanda mbalimbali vimekufa/vimeuliwa, reli haipo tena, uwekezaji hakuna tena, bandari hakuna cha maana angalau miaka kidogo wamefanya maboresho.
Kwa hii nchi yetu, serikali ndio mdau mkubwa wa maendeleo, bila wao hakuna kitakachoendelea, case study Dodoma,Arusha na Dar.
Unajua machungwa mengi nchi hii yanatoka muheza
Hayo uliyotaja yanaonekana ni mazao ya biashara,machungwa tanachukuliwa poa kama matunda mengine mfano mapera,nanasi nk..lakini wakulima wa machungwa hawapewi support kama wanayopewa wakulima wa parachichi, korosho, au chikichi. sijasikia serikali inagawa bure miche ya michungwa kama inavyofanya kwa chikichi, korosho,...
Kweli kabsa wajamaa wameitendea haki ile nyimboUkisiliza ile nyimbo ya wagosi wa kaya unaweza kudhani ni utani kumbe ndio ukweli
Hayo uliyotaja yanaonekana ni mazao ya biashara,machungwa tanachukuliwa poa kama matunda mengine mfano mapera,nanasi nk
Tatizo letu serikali imekariri mazao fulani fulani..nchi kama Misri inapiga pesa nyingi sana kwa kilimo cha machungwa.
..pia kuna nchi zimejiongeza kwenye kilimo cha nazi na wanapiga pesa vilevile.
..serikali ingeyabeba mazao hayo wakulima wa mkoa wa Tanga wangekuwa matajiri.
Wakiwekeza hawapati matokeo sahihihayo mandeleo yanatoka wapi wakati vijana kwa wazee wanashinda kwenye vijiwe vya story na bao
Watu wa Iringa wanachoma misitu na kudhulumu wawekezaji ambao ni watumishi,ukipata parachichi na korosho bei mbovu lakini Kuna mateja wanasema mitano Tena,nchi inaogopa wananchi wake wasifanikiwe,hii njama na siasa huru hakuna...nchi kama Misri inapiga pesa nyingi sana kwa kilimo cha machungwa.
..pia kuna nchi zimejiongeza kwenye kilimo cha nazi na wanapiga pesa vilevile.
..serikali ingeyabeba mazao hayo wakulima wa mkoa wa Tanga wangekuwa matajiri.
Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Kila kitu? Hebu vitaje!!Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Mjinga mama yakoTanga ni wajinga wamekalia ushirikina na uvivu tupu
Ushirikina na kucheza ngoma.Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
😀😀sasa uchumi wake ulitakiwa kua level waliyopo sasa? Kuna mahali wanakwama kiuchumi ila kwenye mapenzi wanasifika hawakwamiBila mapenzi wewe ungezaliwa? Wacheni chuki na sweeping statements za kuwadharau watu wa Tanga usikute nyie mumezaliwa kwenye nyumba za tembe lakini mnaitukana Tanga.
Hiyo sumu inaingia mkoa mwingine kama Morogoro hawapendi wageni,wanapenda fitnaMimi kwa upande mmoja wa familia ni wapare waliohamia Lushoto hivyo Tanga ni mkoa wangu. Tatizo kubwa la Tanga ni kuambukizwa utamaduni wa Pwani ambao sio mzuri kwa maendeleo. Yaani Watu wa mkoa wa Arusha mjini pale ndiyo wangekuwepo Tanga mjini kungekuwa na maendeleo sana. Uwekezaji mkubwa haupo na hakuna utamaduni wa kujituma. Yaani ulegelege wa Zanzibari umeingia sana Tanga