Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga ni wavivu sn
Wanakuja kula nyumbani kwenu?!
Nani anawanunulia chakula?!
Au ulishasikia serikali inapeleka Tanga chakula cha msaada?!
Na kama iko nyuma kiuchumi kwanini ikapewa hadhi ya jiji tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000?! Unajua kuwa Moshi wanaomba manispaa ipewe hadhi ya jiji na hadi Leo serikali inawazungusha kwakuwa vigezo haviridhishi?!
 
Tanga Haina chochote Cha kufanya iwe namba 2 Kwa Tanzania.

Sio rahisi kupita Mwanza au Mbeya ila hao kina Arusha na Moro watapitwa mwaka huu huu.

Uwepo wa Bandari na boda sio juhudi za watu wa Tanga Hadi useme inachangia sana kitaifa.
 
Sawa ila mapato yanatoka zaidi mpakan na bandarini ambapo shughuli za wananchi ni chache.
 
Ukweli mchungu
 
Ukiangalia yale mapori yaliyopo ilipopita barabara ya Mombasa - Tanga mtu unaweza ukajiuliza sana hawa watu wa Udigoni wanashida ganii.
Tanga ni moja ya manispaa chache hapa Tanzania zilizogeuzwa na kupandishwa hadhi ya kuwa jiji, je unaweza kujiuliza ni kwanini?
Majiji hapa Tanzania ni Daressalaam, Mwanza, Arusha, Tanga na mbeya basi! Kwanini Moshi, Shinyanga, Songea, Sumbawanga nk hawakupewa hadhi ya jiji badala yake ikapewa Tanga?!
 
Siasa uchwara.Huo mkoa unaachawa wengi sana Serikalini.

On top of that sio tuu kwamba ni Jiji uchwara lakini Hako kamkoa ka machawa kamemegwa Vihamlashauei vingi sana vya Kisiasa ambavyo viko hoi kiuchumi Ili tuu kuendelea kupendelea machawa.
 
Siasa uchwara.Huo mkoa unaachawa wengi sana Serikalini.

On top of that sio tuu kwamba ni Jiji uchwara lakini Hako kamkoa ka machawa kamemegwa Vihamlashauei vingi sana vya Kisiasa ambavyo viko hoi kiuchumi Ili tuu kuendelea kupendelea machawa.
Hoja ya kipuuzi sana!.
Kwahiyo Shinyanga, Tabora, Singida, Sumbawanga, Kigoma na musoma hakuna machawa?!
Na je Dodoma , Mwanza , Arusha na Mbeya pia ni machawa ndiyo maana walipata hadhi ya jiji?!
 
hayo mandeleo yanatoka wapi wakati vijana kwa wazee wanashinda kwenye vijiwe vya story na bao
Halafu wakitoka vijiweni na kwenye bao wanakuja kula nyumbani kwako?!
Moja ya sifa ya watu wa Tanga ni utanashati wa kupenda kuvaa vizuri, je nguo wanazovaa wanatoa wapi wakati wanashinda kwenye bao na vijiweni?!
Je ulishafika Tanga ukakutana na mtu mwenye akili timamu yuko uchi?!
Nguo za kuvaa wanatoa wapi?!
Au ulishasikia serikali imepeleka Tanga chakula cha msaada na nguo za kuvaa kwa watu wa Tanga?!
 
Moshi inanyimwa kwa sababu za kisiasa, huwezi kulingana Moshi na Tanga, Tanga ni pahovyo sn
 
Wavivu hao watu hatari
Wanakula nyumbani kwako?! Nguo wanazovaa wanapewa na nani?
Ulishasikia serikali imewapelekea chakula na nguo za msaada?!
Mbona mbona manispaa yao imepewa hadhi ya jiji Tangu 2005 wakati Shinyanga,Bukoba,Musoma, Singida, Sumbawanga,Songea, na Kigoma Bado ni manispaa?!
Kwanini mji wa watu wavivu ipewe hadhi ya jiji sawa na Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…