Tanga, Korogwe: Ajali yaua 17 na kujeruhi 12

Poleni sana wajomba poleni sana akina Mrema. Hawa waliopata ajali ndiko bibi yangu alikozaliwa. Baba yangu angekuwa kwenye coaster hii aisee leo ningekuw nalia sana. .
Its very sad. Marehemu kafa na watoto wake watatu. Msiba mkubwa Rombo siamanzi kubwa sana ndugu zangu. .
Huwa tunasikia msiba za ajali ila usisikie kwa watu wa nyumbani very sad indeed. .

Raha ya milele uwaangazie ee Bwana. .
 
Poleni sana wajomba poleni sana akina Mrema. Hawa waliopata ajali ndiko bibi yangu alikozaliwa. Baba yangu angekuwa kwenye coaster hii aisee leo ningekuw nalia sana. .
Its very sad. Marehemu kafa na watoto wake watatu. Msiba mkubwa Rombo siamanzi kubwa sana ndugu zangu. .
Huwa tunasikia msiba za ajali ila usisikie kwa watu wa nyumbani very sad indeed. .

Raha ya millennium uwaangazie ee Bwana. .
Nasikia hao 14 ni watu wa familia moja
 
Nadhani tufike mahali tuachane na huu utaratibu wa kusafirisha maiti. Kama kuna ulazima sana watu waende mchana ila maiti nyingi sana huwa zinasafirishwa usiku ambapo risk ni kubwa sana. Jamani mtu akishakufa amekufa tu azikwe Kinondoni, Tukuyu, Marangu au Kahama hawezi nyanyuka tena. Me binafsi sioni kama kuna ulazima sana kupeleka dead body hasa kwa mikoa ya mbali kama Mara, Kagera, Mwanza etc... Ukikaa kama pale Msamvu Morogoro kwenyw sheli ya ATN stand ya Dodoma, coaster za maiti zivyopishana unajiuliza na maroli haya usiku watafika salama kweli. Mungu atusaidie
 
Kwa maana hyo misiba imekuwa 18 kwa wakt mmoja Mbna hi Ni hatari sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na hapo utakuta kuna familia zimebaki yatima yaani baba na mama wote wamefia hapo kwenye hiyo ajali. Maana safari za namna hii mara nyingi wale ndugu wa karibu wengu huwa wanakuwepo pamoja kwenye gari moja.
 
Sahihi kabisa, tatizo ni kuloea mazoea na tamaduni zilizopitwa na wakati. Mtu ameishi miaka yake yote na familia Dar akifa watu wanamsafirisha maelfu ya Kilometa kwenda kumzika huko mgombani.
Nadhani tufike mahali tuachane na huu utaratibu wa kusafirisha maiti. Kama kuna ulazima sana watu waende mchana ila maiti nyingi sana huwa zinasafirishwa usiku ambapo risk ni kubwa sana. Jamani mtu akishakufa amekufa tu azikwe Kinondoni, Tukuyu, Marangu au Kahama hawezi nyanyuka tena. Me binafsi sioni kama kuna ulazima sana kupeleka dead body hasa kwa mikoa ya mbali kama Mara, Kagera, Mwanza etc... Ukikaa kama pale Msamvu Morogoro kwenyw sheli ya ATN stand ya Dodoma, coaster za maiti zivyopishana unajiuliza na maroli haya usiku watafika salama kweli. Mungu atusaidie
 
Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 Ikitokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.[emoji848][emoji2827]
Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa? Ama kuna mtu hakupenda awepo kwenye msafara?
Umenikumbusha kisa kimoja. Shangazi yangu alifariki. Tulikua tunasafirisha msiba. Kufika hapo kabla ya kibaha hivi chombo ikagoma. Hangaika wapi. Ikiwaka inazima
Akatokea mtu mzima akasema mmekosea kumuweka marehemu, geuzeni. Wekeni miguu anakotokea na kichwa anakoelekea. Likafanyika. Baada ya hapo dereva akapewa mkaa na kuna udongo sijui na mawe walichukua kwenye mji wake wakaweka kwenye jeneza kama sikosei. Dere akachukua mkaa na kisu akaweka chini ya siti yake. Chombo imewashwa mpaka mombo enzi hizo. Aisee kuna mambo. Na kama marehem hataki unzike usiende. Huwa wengine wanafunguaga macho
 
Poleni sana wajomba poleni sana akina Mrema. Hawa waliopata ajali ndiko bibi yangu alikozaliwa. Baba yangu angekuwa kwenye coaster hii aisee leo ningekuw nalia sana. .
Its very sad. Marehemu kafa na watoto wake watatu. Msiba mkubwa Rombo siamanzi kubwa sana ndugu zangu. .
Huwa tunasikia msiba za ajali ila usisikie kwa watu wa nyumbani very sad indeed. .

Raha ya millennium uwaangazie ee Bwana. .
Ooh, ndugu yangu pole yetu sana. Poleni mno. Inatisha sana. Sisi wengine wako hukohuko kuzika maana misiba imefatana so najua watakua huko2. Ni huZuni sana kwa wnaa mrema. Ni watatu tayari? Yewomii[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom