Duh! Umewaza nini mkuu?Duh! /Poleni Sana sana, hope kwenye hii idadi ya waliokufa, mwili wa marehemu haujahesabiwa Tena! Mungu awape nguvu
Nasikia hao 14 ni watu wa familia mojaPoleni sana wajomba poleni sana akina Mrema. Hawa waliopata ajali ndiko bibi yangu alikozaliwa. Baba yangu angekuwa kwenye coaster hii aisee leo ningekuw nalia sana. .
Its very sad. Marehemu kafa na watoto wake watatu. Msiba mkubwa Rombo siamanzi kubwa sana ndugu zangu. .
Huwa tunasikia msiba za ajali ila usisikie kwa watu wa nyumbani very sad indeed. .
Raha ya millennium uwaangazie ee Bwana. .
Na hapo utakuta kuna familia zimebaki yatima yaani baba na mama wote wamefia hapo kwenye hiyo ajali. Maana safari za namna hii mara nyingi wale ndugu wa karibu wengu huwa wanakuwepo pamoja kwenye gari moja.Kwa maana hyo misiba imekuwa 18 kwa wakt mmoja Mbna hi Ni hatari sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kunaweza kukawa na double counting, ikaongeza huzuni kwa wafiwaDuh! Umewaza nini mkuu?
Nadhani tufike mahali tuachane na huu utaratibu wa kusafirisha maiti. Kama kuna ulazima sana watu waende mchana ila maiti nyingi sana huwa zinasafirishwa usiku ambapo risk ni kubwa sana. Jamani mtu akishakufa amekufa tu azikwe Kinondoni, Tukuyu, Marangu au Kahama hawezi nyanyuka tena. Me binafsi sioni kama kuna ulazima sana kupeleka dead body hasa kwa mikoa ya mbali kama Mara, Kagera, Mwanza etc... Ukikaa kama pale Msamvu Morogoro kwenyw sheli ya ATN stand ya Dodoma, coaster za maiti zivyopishana unajiuliza na maroli haya usiku watafika salama kweli. Mungu atusaidie
Umenikumbusha kisa kimoja. Shangazi yangu alifariki. Tulikua tunasafirisha msiba. Kufika hapo kabla ya kibaha hivi chombo ikagoma. Hangaika wapi. Ikiwaka inazimaCoaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 Ikitokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.[emoji848][emoji2827]
Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa? Ama kuna mtu hakupenda awepo kwenye msafara?
I said same thing kwa family group. Madereva wa fuso ni pumbavu sana. Ni vijana wanaolipuka. Angalau madereva wa transit wanajielewa. Siyo hawa wanaokimbiza karoti, viazi na nyanya. Ni wanawahi malaya tu hakuna kinginrChanzo ni mwendo kasi wa dereva wa fuso akimuwahi kimada....wafu hawajui neno lolote
Watoto wa marehemu wamefariki. Ni kijiji jirani na kwetu[emoji26]Na hao wengi ukute nao ni wana ndugu wa karibu, sa majeneza mbona watanunua mengi sana.
Ooh, ndugu yangu pole yetu sana. Poleni mno. Inatisha sana. Sisi wengine wako hukohuko kuzika maana misiba imefatana so najua watakua huko2. Ni huZuni sana kwa wnaa mrema. Ni watatu tayari? Yewomii[emoji119][emoji119][emoji119]Poleni sana wajomba poleni sana akina Mrema. Hawa waliopata ajali ndiko bibi yangu alikozaliwa. Baba yangu angekuwa kwenye coaster hii aisee leo ningekuw nalia sana. .
Its very sad. Marehemu kafa na watoto wake watatu. Msiba mkubwa Rombo siamanzi kubwa sana ndugu zangu. .
Huwa tunasikia msiba za ajali ila usisikie kwa watu wa nyumbani very sad indeed. .
Raha ya millennium uwaangazie ee Bwana. .
Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 Ikitokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.[emoji848][emoji2827]
Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa? Ama kuna mtu hakupenda awepo kwenye msafara?