Tanga, Korogwe: Ajali yaua 17 na kujeruhi 12


Aisee,ni wa Rombo sehemu gani mkuu?
 
Tuwaulize nyie wa Rohoni ambao mna dunia nyingine mnayoijua , hao watu waliokuwa wanasindikiza walitakiwa kufanyeje ..... Mana sa hv inasingiziwa maiti , kana kwamba Magari ya maiti hayatakiwi kupata ajali

Take it easy....

Gasp some water and gargle for a while...

It's a free world 🙂.
 
Nakumbuka walipiga marufuku kusafiri usiku imekuaje tena? Usiku risk ni kubwa sana na madereva weng wanalala
 
Kuendesha gari kwa uangalifu, makini na kufuata sheria za baravarani siyo kwausalama wako tu bali pia kwa usalama wa wengine wanaotumia barabara.

Inahuzinisha maisha kupotea kea uzembe na uchoyo.

Mungu awarehemu
 
Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 Ikitokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.[emoji848][emoji2827]
Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa? Ama kuna mtu hakupenda awepo kwenye msafara?
Hahahahaha wewe, Mshana Jr, Kila kitu unataka kukitafsiri na kuleta maelezo ya kidadisi.
 
Poleni sana ndugu yangu, poleni mno .
 
Madereva wa mafuso ni wana matatizo na gari zao zenyewe zile siyo za kuziamini hata kidogo na bado wanaenda hovyo njiani. Kuna natoka Tanga kuelekwa Dodoma njia inaruhusu kuovertake, dereva wa basi kakoleza mwendo anataka kumpita. Jamaa si kasogeza gari kati kuzuia halafu anaenda mwendo mdogo, ikabidi apigiwe honi nyingi ndiyo akarudi upande na hii wametufanyia madereva zaidi ya watatu njiani.

Hayo mafuso hata ukiwauliza madereva wa malori makubwa wanakwambia hayo magari siyo yangekuwa binadamu wangesema yana tabia ya kupoteza kumbukumbu. Yanahitaji umakini mkubwa kuendesha kuliko hayo malori ila wao wanayachukulia poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…