Yaani nafikiria kama barabara zote Nchini haziwezi jengwa bila matambiko,naona zile barabara zilizojengwa huko Uchagani zingewatajirisha sana wale Wazee wa kimila huko Uchagani, maana matambiko ya Wachaga si chini ya Million 100! Wazee wa kichaga wange demand hicho kiasi ndiyo wafanye matambiko!!Katika taarifa za Karibuni kutoka KWAMSISI Kiongozi wa Serikali ameomba hela za Tambiko zaidi ya Millioni 20 kuwa ni nyingi kuliko walizowahi kutoa mahali pengine Tanzania.
Ni Lazima TANROAD kulipa hela hizo ili Wazee watambike ili Barabara ijengwe? Manufaa ya Barabara ni ya haohao wanaotaka kutambika.
Katika Karne hii ya 21 bado tunapaswa kuendekeza mambo ya Malipo ya MATAMBIKO? Kuna Mahali Viongozi wetu uwezo wao wa kufikiria umegota.
Naomba Viongozi wa DINI wasitumike na Serikali kwenye dhifa tu. Wawape majukumu kama hayo badala ya kuwapa ulaji akina Yerico Nyerere!.
Uhuru Touch sio ushirikina kama unavyosema ingawa kukimbiza mioto ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu soma Ufunuo wa Yohana. Olympic touch hukimbizwa dunia nzima cha msingi ni ujumbe unaowakilisha.Nyerere mwenyewe aliasisi tambiko la MWENGE ambalo linatutesa sana linatugharimu pesa nyingi tofauti na hiyo 15m.
Nani kakuambia kuwa ni ushirikina ama kisa umeshikwa akili na wazungu na waarabu.Hii nchi tunaelekea pabaya sana aisee.
Tunafikia hatua ya kuamini mambo ya kishirikina hadi kutumia mamilioni ya wananchi kuyapeleka milima korelo?
Umeandika utumbo mtupuNani kakuambia kuwa ni ushirikina ama kisa umeshikwa akili na wazungu na waarabu.
Kuna kukumbuka ama siku kuu za watakatifu waliotangulia mbele zahaki.
Watuombee wao Wana Mana gani. Kuwa mwafrika sio ujifanye kuwa ni ya kizamank kisa unavyo vikaratasi vitatu,viwili ama usikute unacho kimoja umeshikwa kichwa kuwa ndo maendeleo ama ndo akili kisa unayo elimu ama tamaduni ya mweupe
Kulingana na uelewa wako uko sawa. Two men one says yes and another say no both are equal.Umeandika utumbo mtupu
Hiyo barabara ipite Kilimanjaro sisi tutajitolea bure mashamba yetu ya kahawa ipite umo.Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya kuomba punguzo zinaendelea.
Habari kamili hii hapa
Hyo ni bila vat.Mbona nimeona video wazee wameshuka hadi 15M..
Hizi hela hangaya atoe kwenye mshahara wake.Hizo milioni 21 serikali itoe kwenye tozo!
Ila hii ya siku nyingi nishaiona humumiungu ya kwamsisi kazini
Kama ni hivyo mbona viongozi wanatembea na hirizi viunoni ?Kwani barabara si mmejengewa wenywe kama vipi rogeni tu ... Serikali haiamini uchawi.