BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Katika taarifa za Karibuni kutoka KWAMSISI Kiongozi wa Serikali ameomba hela za Tambiko zaidi ya Millioni 20 kuwa ni nyingi kuliko walizowahi kutoa mahali pengine Tanzania.
Ni Lazima TANROAD kulipa hela hizo ili Wazee watambike ili Barabara ijengwe? Manufaa ya Barabara ni ya haohao wanaotaka kutambika.
Katika Karne hii ya 21 bado tunapaswa kuendekeza mambo ya Malipo ya MATAMBIKO? Kuna Mahali Viongozi wetu uwezo wao wa kufikiria umegota.
Naomba Viongozi wa DINI wasitumike na Serikali kwenye dhifa tu. Wawape majukumu kama hayo badala ya kuwapa ulaji akina Yerico Nyerere!.