Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alisema wajawazito hawalipi kwenye hospitali za umma

Au aliongea ili kuongeza kura kwa CCM?
 
Haospitali Zingine wanaweka deni, siku ya kutoka unadaiwa, hapo inabidi wawajibishwe hao wahusika
Huu ndio utaratibu wa zahanati nyingi huku mjini hasa Kwa wamama wajawazito. Akishajifungua deni analipa analipa wakati wakuhudhuria kliniki ya mtoto
 
Nidhamu hospital mahospitalini imeshuka sana siku hizi. Hospital nyingi ukiwa na mgonjwa halafu huna ela ya matitabu unadharaurika sana.
 
Upo Hosp ya Serikali wewe ?.
 
Nzuri, miaka zaidi ya 20 , na Bado unasema una muongozo unaodai C-section Kwa Wajawazito Hosp za Serikali ni malipo ?.
Kwanza natakiwa nikuulize kuhusu level ya kituo chako maana kwa hpa Hata watoto Paediatric under five wanalipia...
Na kingine kama unao muongozo unaosema ni bure Nitafurahi kuuona pia ukinipa
 
Kwanza natakiwa nikuulize kuhusu level ya kituo chako maana kwa hpa Hata watoto Paediatric under five wanalipia...
Na kingine kama unao muongozo unaosema ni bure Nitafurahi kuuona pia ukinipa
Niko Wilaya, labda unisaidie muongozo unaosema Wajawazito na U-5 wanalipia huduma
 
Niko Wilaya, labda unisaidie muongozo unaosema Wajawazito na U-5 wanalipia huduma
Anhaa bhasi kama uko Wilayani Ulizia Jinsi Wizara inavyofanya kazi katika mkoa na upate ithibaki kwa eneo mahalia..
Maana Hospitali zote za mikoa U-5 wote wanalipia ...

Na kingine nikusaidie Wajawazito Hawalipii only SVD kwa hospitali za wilaya ila kwa zingine hulipia na ndo maana nilikuomba Hiyo sera yako ya Bure umeshindwa unaniomba sera na Muongozo wa Kulipia?

Ikiwa umeshindwa kunipa muongozo wa Bure unatakaje mimi nikupe muongozo wa kulipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…