Tanganyika iiombe radhi Zanzibar?

Tanganyika iiombe radhi Zanzibar?

Zanzibar ilikuwa Hadi na Sarafu yake
Leo hi iko wapi?
Aah au Basi mengine ni machungu hata kuyasema .
Mzee Bwege, hata Kilwa ilikuwa na sarafu miaka 2000 nyuma.
 
Attachments

  • Screenshot_20230622_012139_Gallery.jpg
    Screenshot_20230622_012139_Gallery.jpg
    112.5 KB · Views: 6
Inasemekana, hata huu Muungano uliopo kwa sasa si Muungano bali ni Ukoloni. Kwamba Tanganyika inaitawala nchi nyingine kimabavu.
Ubovu wa mada yako nzima unauonyesha hapa.

Umetumia "inasemekana", katika sehemu zote, hata haya unayoyashuhudia mwenyewe, kana kwamba nawe huna akili za kuona na kutambua?

Tueleze, wewe leo hii unauonaje Muungano huu, ambao nchi moja iliyoungana na nyingine iliendelea kuwepo, na ile nyingine ikapotea, kama iliyomezwa. Sasa inaonyesha waziwazi nchi iliyobaki bila kumezwa, pamoja na udogo wake inaitawala ile iliyomezwa, na kuondoka!

Swali unalotakiwa kujiuliza kwa hofu kubwa ni hili: je ile nchi iliyomezwa itatapikwa na kurudi kuwepo?

Hilo liinchi lililomezwa likirudi, sidhani kwamba mtaendelea kujibaragaza kama mnavyofanya sasa hivi.
 
Tulichofundishwa shuleni kuhusu Muungano, ni tofauti na ninayoyasikia Sasa!

Inasemekana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuwa takwa la wananchi, bali la Karume na Nyerere, lakini zaidi, Nyerere.

Inasemekana, hata yale yanayoitwa Mapinduzi Tukufu ya Zanzibar, yalikuwa ni mauaji katili, na yaliratibiwa na kusaidiwa, kwa sehemu kubwa, na Tanganyika. Hata silaha zilizotumika kwenye mapinduzi zilitoka Tanganyika.

Inasemekana, mapinduzi hayakulenga kumwondoa Mwarabu, bali Serikali halali kwa lengo la kukiweka madarakani Chama kilichokuwa kikiungwa mkono na Tanganyika.

Inasemekana, tokea mfumo wa Vyama vingi uanze, chama kinachoungwa mkono na Tanganyika kimekuwa kikishinda uchaguzi bila ridhaa ya wapiga kura. Kwamba kishinde kisishinde, lazima kiingie madarakani, maadam tu kinaungwa mkono na Tanganyika.

Inasemekana, hata huu Muungano uliopo kwa sasa si Muungano bali ni Ukoloni. Kwamba Tanganyika inaitawala nchi nyingine kimabavu.

Inawezekana, kama Zanzibar ingekuwa na uwezo, ingeshajitoa kwenye Muungano. Kuenedelea kwake kuwepo kwenye Muungano ni kwa sababu tu inalazimishwa na Tanganyika.

Yameshasemwa mengi na kuandikwa mengi.

Uungwana ni vitendo. Ikiwa hayo yote yanayosemwa ni kweli, basi Zanzibar wana haki ya kuulakamikia Muungano.

Kama ni kweli, nini kifanyike?

Mosi, Tanganyika iiombe radhi Zanzibar kwa yote inayoamini imeitendea Zanzibar ndivyo isivyo, na kwa yale ambayo Zanzibar inailalamikia.

Pili, kura ya maoni iitishwe kwa wananchi wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar kuamua juu ya mustakabali wa Muungano.

Tatu, maamuzi ya wananchi yaheshimiwe.
Kwa Hali ilivyo sasa ivi, nahisi hata mishahara ya wafanyakazi wa huko inalipwa Toka Tanganyika
 
Kwamba kuunganisha nchi na nyerere kubakia kuwa Rais ndo kulizui manowari za uingereza kuivamia Zanzibar?
Yes, kwasababu muungano ulibadili status ya Zanzibar uliifanya Zanzibar kuwa sio nchi tena bali ni sehemu ya Tanzania hivyo kuivamia Zanzibar ni kuivamia Tanzania, that was the real motives behind muungano wa fasta fasta na kusahau kuweka kipengele cha kuvunja mkataba wa muungano, hivyo kuzifanya zile articles of the union between Tanganyika and Zanzibar kuwa sio contract bali just an agreement ya muungano for life, yaani ni muungano wa milele na milele na tutaulinda kwa gharama yoyote, na ndio maana kule Zanzibar, kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi, kwa kuhofia majaaliwa ya muungano wetu huu adhimu Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda hili hata mimi niliwahi kulizungumzia Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano?
Mambo kama haya ndizo gharama zenyewe za kuulinda muungano wetu kwa gharama yoyote.

Tena ni mimi niliyemshauri Dr. Shein kumfuta kazi mtu huyu Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii kutokana na matamshi yake ya kuhatarisha muungano enzi zile.

Lakini sasa kwasababu huyu ndiye Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar akigombea yeye 2025, akishinda anapewa!, hili nimeshauri hapa Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Sawa sawa umenishawishi nimekupata
Kumbe kipengele cha kutoweka muda wa kuuvunja Muungano hakikuwekwa!

Pascal Mayalla mkuu yaelekea yaliyomo ndani ya Muungano unayafahamu mkuu
Waweza tupatia nasi copy humu tupate maarifa ya wazee wetu namna yalivounganisha nchi kwa vipengele vizito visivyo ingiliwa kirahisi.
 
Mzee Bwege, hata Kilwa ilikuwa na sarafu miaka 2000 nyuma.
Kwahiyo kilwa iliwahi kujitawala Kama nchi!
kilwa iliwahi pigania Uhuru wake?
Kilwa imeungana na nchi gani Kama Zanzibar ilivoungana na Tanganyika?

Huko unyamwezini mnakula Sana viazi mnashindwa kuunganisha hoja.
 
Tena ni mimi niliyemshauri Dr. Shein kumfuta kazi mtu huyu Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii kutokana na matamshi yake ya kuhatarisha muungano enzi zile.

Lakini sasa kwasababu huyu ndiye Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar akigombea yeye 2025, akishinda anapewa!, hili nimeshauri hapa Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Yani unachothibitisha hapa ni ushenzi tu uliotukuka.

Kwahiyo wewe unaamini mpinzani Zanzibar hapaswi kupewa uraisi hata kama atashinda? unashuhudia kwamba wewe pamoja na watawala kuwa ni madhalim na kwamba mifumo yetu ya utawala ni ya kiudekteta (Sina hakika kama una mamlaka yoyote ya kuisemea serikali)

Pili, Unataka kupitia mlango huo wa kwamba mama aachie 2025 kwa hoja za kitoto kabisa eti mwanamke arudi 2030. Sema ukweli tu, unataka kwa gharama yoyote Mzanzibari aachie kiti cha uraisi (hii ni dalili ya chuki zako kwa wazanzibari na udini ulonao hasa kupitia machapisho yako mengine.

Sasa ni hiviii, Mzanzibari bado yupo sana! ... meza hiyo!
 
Yani unachothibitisha hapa ni ushenzi tu uliotukuka.
That is politics, it's a dirty game
Kwahiyo wewe unaamini mpinzani Zanzibar hapaswi kupewa uraisi hata kama atashinda?
No sio mpinzani hapaswi kupewa urais hata kama atashinda, bali mtu yoyote hata aliyepo CCM, kama atahatarisha huu muungano wetu adhimu, anaondoshwa!, hiki ndicho kilichowakuta wote walioondoshwa!. Ukisikia muungano wetu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote, hizo ndizo gharama zake!. Uchaguzi wa 2015 uliofutwa na ZEC, lakini kwa matokeo ya NEC, CCM ilishindwa!. Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda unajua ni kwanini?. Kuulinda muungano!.
unashuhudia kwamba wewe pamoja na watawala kuwa ni madhalim na kwamba mifumo yetu ya utawala ni ya kiudekteta (Sina hakika kama una mamlaka yoyote ya kuisemea serikali)
Mimi sio serikali wala sina mamlaka ya kuisemea serikali na wala sijasemea serikali bali kwa mujibu wa katiba ya JMT, mamlaka kuu ya kwanza ya JMT ni watu, we the people, hivyo watu ndio mamlaka Kuu inayomuajiri rais wa JMT na serikali yake kupitia kura zao, ndiyo inayoyomlipa mshahara rais na serikali yake kwa kodi zetu, hivyo watu ndio kila kitu, ndio wenye nchi!.
Pili, Unataka kupitia mlango huo wa kwamba mama aachie 2025 kwa hoja za kitoto kabisa eti mwanamke arudi 2030.
Kwenye bandiko hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke kwa hoja ya kwanini Samia asigombee 2025 , unaiita ya kitoto?!, then wewe kama sio kiazi, utakuwa ni mtoto!.
Sema ukweli tu, unataka kwa gharama yoyote Mzanzibari aachie kiti cha uraisi (hii ni dalili ya chuki zako kwa wazanzibari na udini ulonao hasa kupitia machapisho yako mengine.
Nilisema wewe kama sio kiazi ni mtoto!, sasa nimethibitisha wewe sio tuu ni kiazi, ni debe tupu!, an empty shells!, unasema nina chuki na Wazanzibari!. Hukuona nimemshauri Rais Samia, kama na yeye ataambiwa nilicho ambiwa mimi, ampishe nani hiyo 2025?.

Mtu mwenye chuki na Wazanzibari angeweza kuandika hoja hizi? Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke na hii Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT? nikueeze zaidi kuhusu mimi na Wanzanzibari?, almanusura nisilimu!.
Sasa ni hiviii, Mzanzibari bado yupo sana! ... meza hiyo!
Pamoja sana!.
P
 
Mlaumu Mwalimu aliyekufundisha, hayo maneno ya Pascal Mayalla yapo kwenye recordings za audio kama ushuhuda Nyerere mwenyewe akisema
Hayapo. Hamna siku Nyerere amezungumzia manowari za jeshi la Uingereza na wala Uingereza haikuwahi kuwa na nia ya kuivamia Zanziba. Alichokisema Nyerere ni kuwa ndoto yake ilikuwa kuungana na Kenya na Uganda na aliishaongea nao. Yeye alitaka Kenyatta ndie awe Rais wa hiyo nchi ya Afrika Mashariki wakati yeye aliutaka uwasilishi Umoja wa Mataifa. Alisita kuungana na Zanziba kwa sababu alihofia kuwa tofauti za ukubwa wa nchi hizi mbili zingeleta tuhuma ya kuwa Tanganyika imeimeza Zanziba. Alipoona muungano na Kenya na Uganda unasua sua akamweleza Karume kuhusu ndoto yake hiyo. Karume akamwambia wala asipate taabu, nchi zao mbili ziungane na Nyerere atakuwa rais wakati Karume atakuwa Makamu katika mfumo wa serikali moja. Nyerere hili hakulitaka maana aliheshimu sana identity ya Zanziba na hakutaka igeuka kuwa mkoa wa nchi mpya. Juhudi zake za kuulinda uzanzibari ndio uliotupeleka kwenye mfumo wa serikali mbili. Na ili kuhakikisha kuwa watanganyika hawaimezi Zanziba, walihitaji pasi kuingia Zanziba. Halafu watu wasivyo na shukrani wanamlaumu kwa kuwameza wakati mfumo huu uliwawezesha wapemba na wengine ambao walikuwa wananyanyaswa Zanziba kuhamia bara na kuweka mizizi yao bila shida yeyote. Leo Sharif Shamba imejaa wapemba kwa sababu hii.

Manowari za kivita za Kiingereza zilikuweko Kenya kwa sababu wakati ule Kenya ilikuwa bado ni Koloni la Uingereza. Walichofanya Waingereza ni kukataa kuipokea meli ya Sultan alipokuwa anakimbia Mapinduzi. Kama walikuwa na nia ya kuvamia Zanziba ili wamrudishe wangempokea. Aliyempokea na kumpa hifadhi Sultan alikuwa Nyerere. Hili nalo halilizungumziwi. Nyerere aliwasaidia na aliwaheshimu sana wazanzibari.

Amandla....
 
Nchi ya mateja na mikorogo zenji inajibu hivi malalamiko ya bandari
 
Attachments

  • Screenshot_20230622_115001_Facebook.jpg
    Screenshot_20230622_115001_Facebook.jpg
    137.6 KB · Views: 4
Kwahiyo kumbe Tanganyika ndio mambo zake kuteka ardhi za wtu?
Kilwa ndio jina la Tanganyika miaka 2000 iliopita na ilikuwa na maendeleo kama ulaya, enzi hizo zenji kulikuwa na masista wa kireno.
Nyinyi mlikuwa boda Nyani kwenu kwenye misitu ya Congo, ni juzi Tippu Tipp kakuleteni huku east Africa.
 
Attachments

  • Screenshot_20230622_012139_Gallery.jpg
    Screenshot_20230622_012139_Gallery.jpg
    112.5 KB · Views: 3
Kwahiyo kilwa iliwahi kujitawala Kama nchi!
kilwa iliwahi pigania Uhuru wake?
Kilwa imeungana na nchi gani Kama Zanzibar ilivoungana na Tanganyika?

Huko unyamwezini mnakula Sana viazi mnashindwa kuunganisha hoja.
Kwani Zenji iliwahi kujitawala lini?
Utawala wa mwisho ulikuwa wa Wareno.
Waingereza walikivamiwa na kujiwekea kinyago Sultan feki Seyyid Said ambae kiukweli alikuwa mfanyakazi wa British India Company.
Wajukuu wa Sultani walipojifanya anajikuna waingereza hao hao ndio waliompa Nyerere Zanzibar. Mlijitawala lini? Wazenji wa mikorogo, ulaji wa unga, na ushoga nyie mliletwa na Tippu Tipp tokea misitu ya kwenu Congo.
 
Kilwa ndio jina la Tanganyika miaka 2000 iliopita na ilikuwa na maendeleo kama ulaya, enzi hizo zenji kulikuwa na masista wa kireno.
Nyinyi mlikuwa boda Nyani kwenu kwenye misitu ya Congo, ni juzi Tippu Tipp kakuleteni huku east Africa.
Kwa nilivyoelewa
East African coins from kilwa,
So ingeweza kuwa pia
East African coin from zinjibar, from tanga, from mombasa, kigoma busia, jinja, na hata ugweno, ila ukweli unabaki pale pale zanzibar imetekwa na haijulikani itaachiwa lini
 
Back
Top Bottom