Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Hapo nakuunga mkono Kwa asilimia 100, Mtoto aliyezaliwa wakati Nyerere ametoka kwenye uongozi wengine wanaitwa Babu huku mtu analalamika kwasababu ya Nyerere. hiyo ni akili kweli
Hayo ni matope sio akili ! Wajerumani wangeendelea kujadili ubaya wa Hitler wasingekuwa walivyo leo vinara wa uchumi katika bara la Ulaya !!

Wao walichukua mazuri yake na wakayatupilia mbali mabaya yake !!
 
Madudu Matupu ,
Munadanganyika na Ukubwa wa miili yao na uzuri wa suti zao
Watanganyika waliosomeshwa na Nyerere hawajui sheria wala kiengereza
Bado wewe ni mtumwa wa akili. Kwani walilazimisha lugha ya Kiingereza kitumike, walishindwa nini kuandika mkataba Kwa kiswahili kama Kiingereza inawashinda
 
Wapemba ndiyo watawala wa Zanzibar kwa sasa au wakati wowote baada ya Mapinduzi?
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
Karume alikuwa muuaji alipata kinachostahili , msitafute sababu za uongo kwanini aliuliwa.
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
1. Karume kauwawa na Wazanzibari wenye asili ya kiarabu hao hao ambae alioa kwao kumbe hawajasamehe ndugu zao kuondolewa, na taarifa yako lile lilikuwa jaribio la Mapinduzi mengine nchi irudi kwa Waarabu koko (Wamanga ambao wapo, yaani watoto maji ya kunde ya Waarabu wa zamani)
2. Zanzibar ipo mbioni kuvunja CCM ili Zanzibar iwe na ASP au CCM yake. Ndicho alichokisema Ali Karume akafukuzwa chama, alikataa swala lililo iva la siri kuwa Zanzibar isiende tena Dodoma, yaani Muungano ndio bye bye.
Hili jambo alilijaribu sana Amani Karume alipokuwa Rais wa Zanzibar 2000 hadi 2010 kuondoa CCM Zanzibar, irudi kwenye ASP ili Zanzibar iwe na Mamlaka kamili. Ajenda hii ipo hewani sasa Zanzibar itoke kwenye makucha ya CCM dhumuni kuu wasiletewe tena Rais aliepitishwa Dodoma na pia wakishinda wapinzani (waarabu hizbu wanaojiita ACT kwa muda tu) basi CCM kubwa ya Tanganyika isiingilie ushindi huo.
 
Kama wanapenda sana kujadili mapungufu ya Nyerere wajadili Kwa wakati ule siyo Kwa wakati huu. Nchi ngapi ambazo tulikuwa tunalingana uchumu wakati wa Nyerere na Leo wametuacha mbali, hapo Nyerere anahusikaje
 
Mtikila alianza kupinga muungano Nyerere akiwa hai, Nyerere ameshafariki kumlaumu ni kazi bure na Haina maana mbona vitu vingi wamebadilisha wakati Nyerere ameshafariki. kama wameweza kubadilisha hivi vitu hata muungano wanaweza kubadilisha.
 
Wewe huwa sikuelewi, tafsiri ulichoandika kwa Kiswahili.
Utakuwa mtu wa bara, huwezi kufahamu mentality ya Zanzibar. Yaani huyooooooo ni CCM damu nae au ndio kafuata neema tu kama walivyo Wazanzibari 100% wa kuzaliwa? Mzanzibari anakuwa na chuki ya chama cha Mwalimu Nyerere lakini wanafuata vyeo na pesa hivyo wanajificha, kila kila akipata fursa anavaa japo kwa siri rangi zao zamani nyekundu ya Cuf, sikuizi zambarau ya ACT ilimradi chama kinachounga mkono Mamlaka kamili ya Zanzibar.
Swali ni je huyo sasa yaani huyo huyo je nae ni kindaki ndaki au ni kama Amani Karume ambae sio CCM lakini aliweza kuigiza hadi akapata urais wa Zanzibar?
Muulize mpinzani yeyote anajua Karume ni ACT (sio ya Zitto, ya Waarabu alqaeda Hizbu)
 
Sasa cha ajabu ni nini hapo?
 
Hakuna ulichoandika hapa.

Kwanini isiwezekane kurekebisha? hivi hata mnajua mnachokiandika kweli?

Kwani hayo makosa ya Nyerere yamegeuka maandiko ya kwenye biblia mpaka yasirekebishike?

Kama unaandika kuna mifumo mibovu aliyoasisi Nyerere inayowanufaisha wale wanaoitetea, sasa kwanini upoteze muda wako kumlaumu Nyerere ambaye hayupo, na kuwaacha hao walafi waliopo sasa?

Nyie ni wapuuzi, naona baada ya propaganda yenu ya udini kufeli, mmemgeukia Nyerere, hapo ndio mmefeli kabisa, katafuteni ujinga mwingine, yule mzee muacheni apumzike kwa amani.
 
Uko sahihi.
 
Sasa cha ajabu ni nini hapo?
Hujajibu, kwa hio ni CCM kweli au kafata pesa? Mana kuna siku kauli zamtoka kama zile za Karume kuwaita CCM mkutano mkuu Dodoma kuwa ni vichwa vya samaki tu ( japo alizidi Konyagi siku akinywa kwa chupa ya maji)
 
Hata hunielewi, wengi hamna akili ukiwemo, ndio maana hata nikisoma mengi uliyoandika, naona ni maneno machafu tu, inaonesha vile ubongo wako ulivyojaa uchafu pia.

Nyerere kama alikosea, hawa waliopo wanafanyaje kurekebisha makosa yake? kwanini muwaache wao waendelee kuyutafuna badala yake mpoteze muda wenu kumshambulia Nyerere ambaye alishasema tunaiga ujinga wake, badala ya mazuri yake?

Hamjielewi, kwa ujinga wenu mnapoteza klmuda kulea tatizo, badala ya kuliondoa kwa kuwaambia ukweli waliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…