Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Huyu jama kapokelewa na waislamu wa pwani wakamuamini wakamsaidia kwa harakati zote alivyo pata uraisi akaanza kubaguwa waislamu kisiasa na kielimu, kafiri ni kafiri ata umsaidie je atakuja kukupenda
QUR'AN ilishawaelekeza waislam wasiwafanye wakiristo wandani wao,wao wakamuweka mbele kwenye chama Chao wakampigia na chapuo,hata sheikh takadir aliposhtuka na kuwaonya,wakamgeuka,akawaambia watatawaliwa wao na vizazi vyao miaka mia,haikufika mbali,1967 makucha yakajitokeza
 
Hapo nakuunga mkono Kwa asilimia 100, Mtoto aliyezaliwa wakati Nyerere ametoka kwenye uongozi wengine wanaitwa Babu huku mtu analalamika kwasababu ya Nyerere. hiyo ni akili kweli
Hawa wapuuzi yupo aliyewatuma kumtukana Nyerere baada ya udini wao kufeli, tutaendelea kwenda sawa tu mpaka kieleweke, haachwi mjinga yeyote nyuma.
 
Na huu ndio ukweli mchungu ! Yule Mzee alishaondoka na hatorudi tena !! Ina maana alikwenda akiwa amezifungia Akili zetu kabatini na funguo ameenda nazo ?!!

Basi siye wote ni hamnazo !!
Kuna wapuuzi wametumwa kuja kusoma upepo, wanajaribu kwa Nyerere, wamefeli.
 
Hawa kweli wanaweza kuwa na uwezo mdogo wa akili au wanapotosha Kwa makusudi. Usingizie Nyerere Kwa ufisadi unaofanyika sasa? Hii ni akili kweli?
Wasiachwe, ni wapuuzi waliotumwa na watawala kuja kubadilisha upepo baada ya ule wa udini jana kufeli pale Temeke.
 
Hayo ni matope sio akili ! Wajerumani wangeendelea kujadili ubaya wa Hitler wasingekuwa walivyo leo vinara wa uchumi katika bara la Ulaya !!

Wao walichukua mazuri yake na wakayatupilia mbali mabaya yake !!
Kuna akili ndogo zinaztaka kutawala hapa JF, sharti zipigwe matofali zikafie mbali.
 
Kama tunamlaumu Nyerere leo miaka 25 (robo karne) tangu afariki dunia. Basi hatujielewi na hatutakuja kujiamulia mambo.

Watoto waliozaliwa baada ya kifo chake wengi wamemaliza degrees zao. Halafu ulaumu kivuli cha nyerere ?!
 
Pole sana Kijana

MASIKINI nimekuonea huruma mno.

Humjuhi Mwalimu Nyerere.
 
Hawa wapuuzi yupo aliyewatuma kumtukana Nyerere baada ya udini wao kufeli, tutaendelea kwenda sawa tu mpaka kieleweke, haachwi mjinga yeyote nyuma.
Kwamba miaka 24;ya utawala wa Nyerere Haina athari kwa Tanzania?!..kufukia shimo la miaka 24 so kazi ndogo, ujerumani ilichakaa WWII,Leo uchumi mkubwa ulaya,ilichukua miaka mingapi?..unajua nchi aliyorithi mwinyi!?..hovyo,raia viraka tu,njaa,shule hakuna,hebu fikiria mwinyi angerithi nchi kiuchumi imechangamka Kama kipindi Cha jakaya,Leo tungekua wapi?..scent ya Nyerere itakuwepo walau kwa miaka 30 ijayo
 
Huko alikoenda na asirudi kabisa.
 
Hapo Nyerere alifeli sana.
 
Uko sahihi kabisa ila kinachoharibu Watanzania wengi ni mapenzi tu kwa mtu wanayemwamini.
 
Umeandika ujinga mtupu, unanionesha tu ulivyo dhaifu na mvivu, ndio maana mnaishia kumlaumu Nyerere.
 
Uko sahihi kabisa ila kinachoharibu Watanzania wengi ni mapenzi tu kwa mtu wanayemwamini.
Nyie ni wavivu na wazembe wa mabadiliko ndio maana hii Tanganyika bado iko hapa, wavivu wa kifikra na kiutendaji.

Siwezi kupoteza hata sekunde moja kumlaumu Nyerere aliyeondoka duniani zaidi zaidi ya miaka 20 iliyopita, na madarakani zaidi ya miaka 30 iliyopita, kwa matatizo yanayonikuta leo?

Ukijumlisha hiyo miaka tangu Nyerere aondoke madarakani, na duniani, ni zaidi ya miaka 50! umri wa mzee huu, sasa iweje kwa miaka yote hiyo bado tusiweze kurekebisha makosa yake na kuishia kumlaumu?!

Nyie ni wajinga wapuuzi msio na aibu.
 
Kwa tukae na upumbavu mpaka kiama ama
Hatuwezi kubadilika tena kisa uongozi ulianza vibaya?

Hebu tuache yaliopita tuunde nchi mpya basi la sivyo lawama za umasikini hazitaisha
 
Hujawahi kuwa na uwezo wa kujibu hoja zangu, na kwa upeo wako na umri, hautakuwa nao mpaka unakufa.

Sorry.
Wewe una hoja au manung'uniko?..ulishawahi jibu hoja yangu,hata hii ya Leo!?..wewe ni ng'ombe,endelea kutia ulimi puani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…