Ili mfunge ndoa na nitonye kisa humtaki tena zubedayo_mchuzi!!Me siungi mkono hoja mwenyekiti ni Baba V
Me siungi mkono hoja mwenyekiti ni Baba V
Baba V anamsaidia nini zubedayo_mchuzi zaidi ya kuivunja ndoa yake?
We mwenyewe umeachika kwa muda halafu unajifanya kuleta maneno ebooooo
Mkuu kiwatengu nilikuwepo sana tu ila nilibase sana kwenye kazi ya kusafisha jukwaa kwanza..so kwa sasa naona kwa upande wa mahusiano tuimarishe zaidi!Mapinduzi tena?
duh kumbe mkubwa nawe ulikuwa masalia uliyetulia?
wenzio walikimbia Chit chat kabisa!!
hivi kipindi kile cha vuguvugu kubwa hapa Erickb52 ulikuwa wapi?
ngoja tuone inakuwaje sasa!!
nani kakudanganya nimeachika kwa muda?
inaweza ikawa moja kwa moja hiyo..ohoo
yalishaisha hayo kitaaambo, now tuko shwaaari, naona mumeo hakuwepo mahala hapa muda mrefuC6 & charminglady tatizo lilikua ni nini....karibuni meza ya mazungumzo!
Pole usijaliai lavu my hubby