milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Nilitarajia waziri wa afya atoe neno,vinginevyo ,mkuranga ni eneo hatari kwa watanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nyumba ya mtu binafsi haikosi mambo yenye changamoto lakini bado nyumba hiyo ikawa na amani na utulivu.....Unaposema amani na utulivu ina maana yanayoendelea nchini huyafahamu ama?
Chawa mkubwa na bado unatumia Tecno. Shame on you!
Hawezi kutoa hilo tamko kwani hakuna nchi inayoitwa Tanganyika.....iko sayari gani ?!!Nilitarajia waziri wa afya atoe neno,vinginevyo ,mkuranga ni eneo hatari kwa watanganyika.
At least you have spoken awesomeness [emoji7]Siipendi CCM lakini CHADEMA ina wajinga wengi kuliko.
Ni kikundi cha wanaharakati uchwara wanaokosa fikira makini kabla ya kufungua midomo yao hadharani.
[emoji7]Hii siyo jambo la ajabu
In the 80 pale kinondoni tulikua tukio zile land rover pickups za halmashauri tunajua wamekuja kuzika wasiotambulika
Nadhani cha kuhoji na je wanaokufa bila kutambulika ni wengi kiasi Gani?
Hawawashindi ninyi; CCM!At least you have spoken awesomeness [emoji7]
Kudos,
Chadema ni janga kweli...
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha kuwa huelewi maana ya hayo maneno uliyoyaandika.Hata nyumba ya mtu binafsi haikosi mambo yenye changamoto lakini bado nyumba hiyo ikawa na amani na utulivu.....
Nchi gani haina changamoto ?!!
Ni kweli ninatumia TECNO F 1 ,una hoja juu yake ?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naomba link please nichangamkue fursaKuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
Ya kunyonga hamnaKuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
feel pain!!! Soka,soka,soka🥹🥹🥹View attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Hii inahusiana nini na Tangazo hili la ajira?Siipendi CCM lakini CHADEMA ina wajinga wengi kuliko.
Ni kikundi cha wanaharakati uchwara wanaokosa fikira makini kabla ya kufungua midomo yao hadharani.
Kama ambavyo mmeshindwa kuielewa barua kisha mnazua taharuki ndivyo ambavyo umeshindwa kuelewa comment yangu.Hii inahusiana nini na Tangazo hili la ajira?
Hana exposure, vitu vidogo kama hivyo havijui...Hujawahi kusikia watu wanazikwa na manispaa kwasababu ndugu zao hawajulikan ?
Hadi mmeajiri watu wa kuzika maiti zisizotambulika kweli mmejiandaa kupoteza maelfu ya watanzania duh!View attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu