Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Elezea zaidi ndugu
Mfano kama wewe mtu unayeamini katika Mungu ( ulimwengu wa Nuru) basi hakikisha unasali sana, unatoa sadaka (pamoja na fungu la kumi), unafanya matendo ya kiimani kama kumwaga chumvi n.k.

Na kama ni wa ulimwengu hule wa pili (Giza), nao wanavitu vyao wanafanya ili biashara zao zisogee..

Amini kuwa ukiona mtu anafanikiwa kwenye biashara yake Kwa kiwango cha juu basi ujue yupo either kwenye ulimwengu wa Nuru au giza
 
Safi, una akili.

Mungu hayupo.

Wenye uzoefu wa biashara za hardware kama ya huyu jamaa ndo wataweza kumsaidia hapa, na sio wafia dini.
 
Biashara bongo ni kuzifaidisha tu mamlaka za serikalina watumishi wake. Bora utafute kazi ya kuajiriwa unalipwa mshahara basi
 
Nipe code ya kuuza chap
 
Punguza emoji za kulialia mtoto wa kiume kua serious

Pole na matatizo ndo maana ya ukubwa dawa
 
Ungekuwa haujafanya kazi kwako ningekubali
Lakini piah hapo nimeongea vitu vingi
1. POSITIVE ATTITUDE
2. GROWTH MINDSET
Unaweza ukawa unasali lakini negative mindset yako ikakufanya ukakwama au ukaisha kabisa ndio maana tukaitwa human BEings you have to BE positive na hatukuitwa human DOings you can't DO positive
 
Nafkiri unapaswa kuwa .mtu wa swala sana kila wakati ni majaribu hayo .pia mcheshi kwa wateja na ubunifu kidogo tu mambo yatakuwa sawa. Hakuna haja yawaganga mkuu.
 
Huwa kuna vision kadhaa kwenye biashara

Ya kwanza kuifungua biashara mpya watakuja watu wengi sana hao sio wateja bali ni wachunguzi na sio wateja royal huja kupima na kujaribu tu

Ya pili hawa ndo uwa wale royal baada ya fake ones kuondoka

Ya tatu hizi ni changamoto za mamlaka naza anga kaa kitaalamu utapigwa doro sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…