mkuu una usingizi itakuwa, hilo swali nimeshalijibu, au yameisha?Basi huko naona huwezi kujibu nimekwambia sina maswali mepesi, kwa hio hapo ulipo Shetani hayupo sasa hivi yupo kuzimu kapigwa minyororo mpaka ipite miaka 1000 si ndio?
Mjomba Jose nionyeshe kwenye biblia palipoandikwa hivyo kwamba hizi ni hesabu za kimbingu au unataka kunipiga kamba umeniona Mimi mtoto wa Sunday School au sio? Acha kamba zako hizosawa kama inafahamika vizuri, sasa joka lilifungwa kuanzia hapo, mpaka miaka 1000 kwa hesabu za kimbunga, sio hesabu zetu wanadamu, maana utauliza mbona miaka 1000 imepita bado, hesabu za kimbingu kwa miaka 1000 ikitimia atafunguliwa kwa muda mchache
Hujajibu swali unaruka swali nimekuuliza hapo ulipo Shetani yupo au hayupo? Jibu swali maana nakupeleka sehemu utafika tumkuu una usingizi itakuwa, hilo swali nimeshalijibu, au yameisha?
Haujathibitisha hoja yako kuwa Mungu ndiye shetani side B usisahu tulikotoka, na ninategemea tuko kwenye hoja hiyo usihame
2 Petro 3:8Mjomba Jose nionyeshe kwenye biblia palipoandikwa hivyo kwamba hizi ni hesabu za kimbingu au unataka kunipiga kamba umeniona Mimi mtoto wa Sunday School au sio? Acha kamba zako hizo
Hapa niko mwenyewe, labda yuko kwenye ibada za washirika wake wachawi huko,Hujajibu swali unaruka swali nimekuuliza hapo ulipo Shetani yupo au hayupo? Jibu swali maana nakupeleka sehemu utafika tu
Wewe natamani nikutwange maswali mazito ila bahati mbaya huna knowledge ya kutosha maswali yangu huwezi kujibu, kwanza haujui Yesu alikufa Mwaka gani hilo ni moja linaonyesha wewe knowledge yako ni ndogo, hapa nasukuma upepo tu ila subiri tufike tunapoenda nitakuonyesha kwanini nakwambia Mungu na Shetani ni kitu kimojasawa kama inafahamika vizuri, sasa joka lilifungwa kuanzia hapo, mpaka miaka 1000 kwa hesabu za kimbingu, sio hesabu zetu wanadamu, maana utauliza mbona miaka 1000 imepita bado, hesabu za kimbingu kwa miaka 1000 ikitimia atafunguliwa kwa muda mchache
Sawa sawa hio siku 1 anayoizungumza hapo ni ya wapi mbinguni, kuzimu au duniani? Sinaga maswali mepesi Mimi na ili unijibu inabidi uwe kichwa kweli kweli usikurupuke km kichwa panzi utanasa2 Petro 3:8
[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Una uhakika gani km upo mwenyewe? Nini kinachokuthibitishia hilo umesema una mwili na roho? Na Shetani ni .......?Hapa niko mwenyewe, labda yuko kwenye ibada za washirika wake wachawi huko,
Huna maswali mkuu, ungekuwa nayo ungekuwa umeshayaweka, weka hayo maswali ili uone kama nashindwa, unasema nina knowledge maswali yote uliyouliza nimekujibu na umeridhika maana nimekujibu kwa uthibitisho, weka hayo maswali magumu nayataka, achana na hayo mepesiWewe natamani nikutwange maswali mazito ila bahati mbaya huna knowledge ya kutosha maswali yangu huwezi kujibu, kwanza haujui Yesu alikufa Mwaka gani hilo ni moja linaonyesha wewe knowledge yako ni ndogo, hapa nasukuma upepo tu ila subiri tufike tunapoenda nitakuonyesha kwanini nakwambia Mungu na Shetani ni kitu kimoja
Na pia huyo Bwana anaemzungumza hapo ni Bwana yupi? Anazungumzia Mbinguni, duniani au kuzimu? Shetani amefungwa wapi? Shetani kafungwa kuzimu, Duniani au mbinguni?2 Petro 3:8
[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
nina mwili na roho, na shetani ana roho, hivyo naweza tambua uwepo wake rohoni, hayupo hapa mkuuUna uhakika gani km upo mwenyewe? Nini kinachokuthibitishia hilo umesema una mwili na roho? Na Shetani ni .......?
Jibu maswali hayo unachukulia mepesi jibu nikugonge maswali mpaka uamke na hangover ya maswaliHuna maswali mkuu, ungekuwa nayo ungekuwa umeshayaweka, weka hayo maswali ili uone kama nashindwa, unasema nina knowledge maswali yote uliyouliza nimekujibu na umeridhika maana nimekujibu kwa uthibitisho, weka hayo maswali magumu nayataka, achana na hayo mepesi
Kuhusu,shetani alilofunga nimekujibu huko juu.Na pia huyo Bwana anaemzungumza hapo ni Bwana yupi? Anazungumzia Mbinguni, duniani au kuzimu? Shetani amefungwa wapi? Shetani kafungwa kuzimu, Duniani au mbinguni?
Yupo hapo anakuchora tu na haujui, haya jibu swali langu hapo juu nimekugonga maswali mawili ya haraka jibu kwanza hayo tuendeleenina mwili na roho, na shetani ana roho, hivyo naweza tambua uwepo wake rohoni, hayupo hapa mkuu
nishayajibu yote mkuu, nilijua una maswali ya kumchangamsha ufahamu, kumbe unayo mepesi tuJibu maswali hayo unachukulia mepesi jibu nikugonge maswali mpaka uamke na hangover ya maswali
Kwa hio siku 1 hio inayozungumzwa hapo ni Mbinguni si ndio au nimekosea? Na Shetani amefungwa wapi?Kuhusu,shetani alilofunga nimekujibu huko juu.
Kuhusu Bwana yupi ni Bwana Mungu
Kuhusu mahali ni Mbinguni
Labda kwako huko mkuu, huku hayupoYupo hapo anakuchora tu na haujui, haya jibu swali langu hapo juu nimekugonga maswali mawili ya haraka jibu kwanza hayo tuendelee
Jibu swali Shetani amefungwa wapi mboni unataka kukimbia?nishayajibu yote mkuu, nilijua una maswali ya kumchangamsha ufahamu, kumbe unayo mepesi tu
ndio, amefungwa kuzimuKwa hio siku 1 hio inayozungumzwa hapo ni Mbinguni si ndio au nimekosea? Na Shetani amefungwa wapi?
Shetani amefungwa wapi?Labda kwako huko mkuu, huku hayupo