Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Ww blaza ni fala sana.....
hujui uchi wa mkeo una sura gani!!.?
mwaka wote!?
hakika ukishangaa ya slow slow utastaajabu ya nduga
 
Mkuu unaingizaje abdalah sehemu ambayo hujaiona??

Halafu unaanzaje kula game baada ya kuoa,, shake well before use
 
Huyo anakufundisha uwe na nidhamu katika mapenzi.Mchana ni muda wa kufanyakazi ili kutafuta pesa.
Kama ni usiku haina shida kwa sisi tuliokulia vijijini kwenye vibatari,hata asipotaka mwanga wa taa kazi inaendelea kama kawaida.
Anyway huyo ndiyo mke mzuri sana.
 
Mkuu ushauziwa mbuz kwawnye guniaaaa
Umenkumbusha nyakat ambazo namie niliwah pata mbuz kwa guni hiv hiv. Baba lazimisha mpaka uone kinachofichwa mapemaaaaaa!
 
Solution ni hii .....mfanye akuzoee akuone zaidi ya mume hapo fanya hvi


Hakikiesha siku nyingine mnaoga wote bafuni ....unamsugua then mnyandue

Hakikisha mna nyoana.........

Hapo atakuzoea utapiga show hadi jikon
Solution hii itafanya kazi kama tu sababu ya kutotaka mwanga ni aibu vinginevyo sidhani
 
Fanya hiviii jaribu kuipapasa uifeel ilivyo tupe texture fomesheni yake je ni slim au nene, ukipapasa antena je pakoje, kama ipo sawa basi atakua hana rinda tobo la chini limeumuka sana, kama sio ivyo basi anatatoo au kovu la kufuta tatoo

iyo hata ukimsimulia bab yako anaeeza pigwa butwaa. auuu tegesha camera chooni secreat camera bro kuwa sirias na hii issue
 
Mganga wake alimtengenezea dawa iliyokuvuta wewe ndio amempa hayo masharti
 
Ila nyuchi hizi zina mambo kuna moja niliona imepatalala kama sijui nini. Kuna k mbaya kwa mtazamo.
 
Masharti ya mganga au nabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…