Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Umekuja kushtaki au ulalamika? Miaka saba hujajua tabua za mkeo, hataki mchana labda anatoa sauti ya miguno mikubwa hivyo anaogopa kusababisha taharuki hataki mwanga hilo ulitakiwa ujue sababu nini maana wanawake wengine wanaona aibu akiwa anapigwa mashine na mwanga upo utajua macho yake yanavyobehave wakati wa mgegedo
 
Duuh!! Hivyo hata kule kwa bibi huwa ana j i p u n g u z a g a mwenyewe. Teh teh 🤭

Tafuta namna ya kumpunguza hizo aibu Mkuu walau mutafute hata zile taa zenye mwanga hafifu au wa rangi mutumie ili aondoke taratibu taratibu hiyo haya, mana mwanga una raha yake nao.
 
Kesho asubuhi tegea karibu kunakucha ndio uanzishe game na maandalizi yawe marefu ili sex iwe kweupe uone anachoficha.
Siku nyingine usirudie kuoa kabla ya kutest mitambo.
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.

Kabla ya kumuoa mlikubaliana nini😂😂😂

Pole mwaya
 
Mimi nna demu hatakagi kuvua sidiria yake kamwe.
Huyu siwez kumuoa hata kidogo, yaani yeye kuivua ni HAWEZI hata ufanyaje atatumia ata nguvu zake za akiba afiche nyonyo zake.
Sasa wewe ndgu yang bahat mbaya ushaingia ndoani vumilia tu, huyu wangu nahisi ana ndala ndefu ndo mana hataki kuonesha, huyo wako sijui ana nini.

Nachelea kusema ana makovu ama magamba mwilini
 
Back
Top Bottom