Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Hii hali unayopitia ni ya kawaida sana kwa wanawake, mimi binafsi yalishanikuta, nilikuwa nanyimwa unyumba tena sio mara moja. Kila ukimgusa hataki na mwisho wa siku akaniambia kabisa kuwa hana hisia na mimi tena.

Mwanaume ukiishiwa pesa au ukawa huna kazi kwa mda, hutaacha kuona kila rangi kwa hawa wanawake.

Hasa wanawake wenye viajira vyao, hawa ni wabaya bora hata wauza mchicha na wachoma vitumbua watakuheshimu pamoja na u jobles wako, lakini mwenye ajira atakusimanga kila siku na utelezi hupati, tena utaonekana mzembe na mbaguzi wa kazi .
 
Kunywa Pepsi dada...nitalipia

Sure yani...unajikuta janaume limekaa km.furushi la mavi etc mume..hapana jmn..maisha sio marahisi

Sasa wewe ukimuangalia diamond unaona kuna mume wa mtu au baba wa familia pale au furushi
Unaoa mwanamke kazi yake ni kula na kunya. Kati ya mwanaume na mwanamke nani ni furushi? Hela yake ni yake.

Siku hizi hakuna wanawake wa kuoa. Ni maslay queen tu waliobaki, watakuchuna na kukufirisi mwisho wa siku wanakukimbia unapokuwa na shida hata uwafanyie jambo gani zuri hawana shukrani.

Maslay queen huwa wanafikiri ndoa ni starehe yaani wahudumiwe kwa kila kitu kazi yao ni kula na kunya tu halafu hufikiri kila siku kutakuwepo na hela, watu hawaumwi na kingine hela zikiwepo mapenzi yanaongezeka.
Rafiki wa kweli ni yule utakayekuwa naye kwenye shida na raha tofauti na hapo piga chini.

Huyo jamaa alikosea kitu kimoja kabla ya kumuoa huyo slay queen alitakiwa amuachishe kazi awe mama wa nyumbani hii ndiyo dawa ya maslay queen.
 
Na akijifanya KUKAZA Atakuja kupewa sumu huko ndani ajifie
 
Sasa mwaka wa 5 huoni kuwa hicho kidume kinakutumikisha bila kukupandisha cheo uwe mke?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili Liko nje ya uwezo wako bro pumzika tu.
 
Huyo hatakiwi kumrudia hata kama akijirudi. Mungu ashamuonyesha rangi yake ilivyo why wanna go back.
 
Nakazia
 
Pole, tafuta mishe boss, kama hapo ulipo panakufaa kiutafutaji basi baki hapo usikimbie kisa mabadiliko madogomadogo hivyo, pambana ili kutimiza majukumu yako kama baba, msaidie kazi pale unapoona inafaa na sio kutokua na kazi isiwe sababu ya kutokusimamia nafasi yako.

Kaa myajenge ili abebe majukumu yake kama mama, kuhusu pesa yake mwambie asitoe matumizi, ni bora mlale njaa kuliko kutoa na kuleteana makasiriko.

Kikubwa simama kwenye nafasi yako ukiona unakosa utulivu ndo ufanye maamuzi mengine.
 
Huyo hatakiwi kumrudia hata kama akijirudi. Mungu ashamuonyesha rangi yake ilivyo why wanna go back.
wanawake wote wapo ivyo dunia hii uwez pata mke mwema 100 percent haupo na hatokuja kuwepo ivo unafik kwenye mahusiano ni lazima
 
Nilichogundua we umebweteka ndani,yaani anaona huna mpango wa kupalangana kutafuta fulsa, ye ameona bila hiyo wake up call utaridhika kuwa house girl hapo nyumbani, mi kwa upande wangu naona yuko sawa tu
 
Hao ndo wanasababishaga watu wajinyonge... Fikiria huna kazi halafu unaoneshwa dharau za hivo... si unajiua kabisa
 
neno hapana uhakika hapa limetumikaje? matumizi nyumbani ni mimi natoa japo kutokana na shida hela za matumizi yake binafsi sijampa kwa muda kidogo

Sasa mkuu umesema kwamba shemeji yetu kakuzidi kipato, na ww ndio unahidumia familia. Ina maana na yeye huwa unampa pesa za matumizi yake binafsi?.

Kama ni hivyo yeye pesa zake anafanyia nini?.
 
Nani aliyetaka kukumwagia maji ya moto?
 
Slay queen au siyo? Wazee wa kujirekodi tiktok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…