The email
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 678
- 1,311
Hii hali unayopitia ni ya kawaida sana kwa wanawake, mimi binafsi yalishanikuta, nilikuwa nanyimwa unyumba tena sio mara moja. Kila ukimgusa hataki na mwisho wa siku akaniambia kabisa kuwa hana hisia na mimi tena.
Mwanaume ukiishiwa pesa au ukawa huna kazi kwa mda, hutaacha kuona kila rangi kwa hawa wanawake.
Hasa wanawake wenye viajira vyao, hawa ni wabaya bora hata wauza mchicha na wachoma vitumbua watakuheshimu pamoja na u jobles wako, lakini mwenye ajira atakusimanga kila siku na utelezi hupati, tena utaonekana mzembe na mbaguzi wa kazi .