Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Ahaahaahaa kumbe ni matakataka tuuHao ndiyo wenye diploma kwenda juu ambao jamaa mmoja alikuwa anawashauri muoe ili mjadili core issues za maendeleo.[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaahaahaa kumbe ni matakataka tuuHao ndiyo wenye diploma kwenda juu ambao jamaa mmoja alikuwa anawashauri muoe ili mjadili core issues za maendeleo.[emoji16]
Mke asie na kazi tofauti na mume asie na kazi, mke akiwa nyumbani kuna kazi nyingi atafanya sasa mume anaeshinda nyumbani kwamba afue, apike, afanye usafi, aoshe watoto si ndio kelele zitazidi mwanaume anadharauliwa kisa hana kazi wakati kwa mwanamke ni kawaida tu.Ushasema wanawake🙅
Malaya wamekuwa wengi sana. Wanajiuza hadi ndani ya ndoa ingawa wanawake wa kumvumilia mume bado wapo na huvumilia, kuomba, na kumpa moyo mpaka kinaeleweka.Hakuna mwanamke wa kukaa mahali ambapo hapana uhakika hata ukaoe mzaramo wa Samvula Chole eti dela la shughuli hana kisa anakuvumilia *****.
Kabisa yaanMke asie na kazi tofauti na mume asie na kazi, mke akiwa nyumbani kuna kazi nyingi atafanya sasa mume anaeshinda nyumbani kwamba afue, apike, afanye usafi, aoshe watoto si ndio kelele zitazidi mwanaume anadharauliwa kisa hana kazi wakati kwa mwanamke ni kawaida tu.
Na Mungu kaamua kumuonyesha mapema sana.Thats what happens when you love a wrong woman.
Mpee ushauri,achana na Vunjo kwanza!!!Kwanini ulioa wa vunjo?!
Kwa nini a fake life kisa Mwanamke!!??Jaribu kutoka toka uzuge Kama Kuna mchongo unasikilizia unavyokaa ndani anakuona huna mpango wowote
Pambania Mjengo wako kwanza,atakuja mwenyewe baada ya Mjengo kuisha! Si anapenda kamselelekoo!? Wwe mwachee atalipata analo litafuta!!!asante mkuu nmefikiria kuondoka mimi sababu tunaishi nyumba ya kupanga kuna kiwanja nilinunua kwa ajili ya ujenzi ila nmeishia kumwaga tofali tu kwanza
Sasa tatizo la Mwanamke ni Nini wakati home kwako una make sure wako salama kwa kila kitu!!??mkuu sina tabia ya uvivu, napambana sana hapa home natoa hela ya matumizi na pia nahangaikia kazi sehemu nyingine
Ebu msome tena mleeta maada, kasema "Mahitaji ya Nyumbani kwake anatimiza, yeye japokua Mke wake ana mshahara Mkubwa sana!!!"Hakuna mwanamke wa kukaa mahali ambapo hapana uhakika hata ukaoe mzaramo wa Samvula Chole eti dela la shughuli hana kisa anakuvumilia *****.
Kwa hiyo aamkee aende akaokote kote chupa!?? Ndiyo una maana hiyo!!??Uwe unaamka kuokotaokota,kukaa ndani na huna hela hiyo ni shida
Hapo dharau imezidi Mpige chini tu,Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Hahahahaaa..... Jf sitoki.Tatizo ulilikaribisha mwenyewe ulipo oa mchaga wa Vunjo. Mimi huwa nawauliza Sana vijana.
Kwenu hakuna warembo mpaka mkaoe kwa watu?
Ukiwa msambaa, oa msambaa mwenzio hata mbondei, mdigo na mzigua usiguse.
Ukiwa mpare wa usangi, kaoe usangi achana na dada zetu wa Same.
Usioe kwa sababu ya tako. Oa asiye na yako lkn mwenye busara.
Wenye mijitako wako tele Dar. Unajipigia mwenye tako mchana jioni Benet na wife flat screen.
Panga vitofali hapo site ziba tiribai anzia hapo,usikubali kuwa mtumwaasante mkuu nmefikiria kuondoka mimi sababu tunaishi nyumba ya kupanga kuna kiwanja nilinunua kwa ajili ya ujenzi ila nmeishia kumwaga tofali tu kwanza
Piga udayworker,kabebe mizigo,kachanganye zege,kachimbe mitaro,kaombe ukondakta nk..Kwa hiyo aamkee aende akaokote kote chupa!?? Ndiyo una maana hiyo!!??
Sasa brother hamia site kwako,Tena kupanga ndo kunatia mkosipamoja na kuwa nashinda ndani ila hela napata, kuna watu nawafanyia kazi kwa pc yangu tu nyumbani
Jamaa anatakiwankazi yake online aiganyie away from home,then ajifanye kazini karudishwa kila kitu kitakuwa shwariKuondoka sio solution mkuu. Cha msingi kaa nae umwambie kama mume kila mtu abaki na majukumu yake. Wewe kama mume utaendelea kuprovide matumizi na yeye kama mke aendelee na majukumu yake haijalishi unashinda nyumbani au vipi as long as matumizi unatoa.
Na inabidi usimame kama mume kipindi hiki maana ukitetereka kidogo tuu utaonja joto ya jiwe mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app