Umesahau helikopta mkuuAkitumia magali 60 x lita 300 = 41000000 milioni,
Akitumia ndege 300-200 watu 175 x laki tatu ni kama milioni 57000000 bado magali yatakuja na madeleva kuja kuendelea na huduma ya chini kwa chini ,
Sasa ongeza hayo magalibya chini yatatumia ghalama gani kila moja yakitangulia.
Sasa nini maana ya kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya kama Rais wa nchi anaenda kukagua hadi soko? Tulieni Mama afanye yale anayoona ni mema kwa nchi hii.Alikuwa anakutana na wananchi ana kwa ana na kutatua changamoto zao.....
Kuna posho yetu ya COVERAGE (TISS + POLISI) kila mkoa anaopitahapo bado wakati mwingine mwendazake jiwe alikuwa anaweka chopa juu.. Hapo hatujaweka gharama za RTO za kila mikoa akipita.. Hatujaweka gharama za wasafiri na malori kukaa pembezoni masaa hata matatu kusubiri msafara upite
CHopa haiwezi kuzidi mafuta ya milioni tano, pi hiyo chopa siyo ya kibiashara, lakini hizi ndege ni za kibiashara anazotumia hivyo lazima azilipie.hapo bado wakati mwingine mwendazake jiwe alikuwa anaweka chopa juu.. Hapo hatujaweka gharama za RTO za kila mikoa akipita.. Hatujaweka gharama za wasafiri na malori kukaa pembezoni masaa hata matatu kusubiri msafara upite
Ujinga naachaKwaio unafikir Rais Anasafir mwenyewe kwa kua kaenda na ndege acha ujinga mkuu kwa akili yako umeona watu wote alio kua anafatana nao hawato kuepo kama ataenda na ndege hujui kua ni lazima viongozi wawepo na ni lazima Wasafi kumfata Rais
Umejibu swali lake vibaya, kijuaji na kumbe ni mtupu tu. Hiyo unayoita “holistically” ina-kuwa tu katika mji husika na kwa mfano Mwanza leo. Huwezi kusema Shinyanga au Musoma hawaendelei na shughuli zao!! Gharama za kutumia ndege pia ni zaidi ya barabara tu kwa sababu wale waliopaswa kuwa katika msafara bado watakwenda kwa ndege au barabara LAKINI na magari yao. Kwenda kwa ndege hakupunguzi idadi ya magari yanayohusika na msafara wa Rais. Kuna kitu kinaitwa “last mile”. Hiyo haitafanywa kwa ndege!!
Tuzoee hili - ziara za taasisi hii zina gharama kubwa. Ni sehemu ya kazi.
hhhhhhhhhhhh................................. asogezewe mgamba fwastaNdege ya Rais ilinunuliwa kwa ajili gani?
Ulitaka SSH apande bus la Mgamba ashukie nyegezi au?.
Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Ndege ya Rais ilinunuliwa kwa ajili gani?
Ulitaka SSH apande bus la Mgamba ashukie nyegezi au?.
Umesahau na Helikopta moja juu inafuatilia usalama wake
Gharama za hesabu ni namba
hebu tuwekee makadilio ya gharama zilizokuwa zinatumika na Magufuli akitumia gari na Samia akitumia ndege
Kutumia magari ni ghali zaidi kuliko ndege. Hata kwa wafanyakazi wa ofisi tu wakitumia gari kwenda mikoa ya mbali inakuwa ghali zaidi kuliko ndege.Kwa rais afadhali atumie ndege zaidi....ardhini watu wanacheleweshwa zaidi...
Aliyetumia magari tumesema, amayetumia ndege tunasema, asiposafiri tutasema, akitembea kwa miguu lah kweli hatuna jema.Wabongo bhana Dah!!