kumbe na waambata anapanda nao humo???mfano cdf,igp,dgtiss nk???Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Haendi nao but hao hawasafiri na100 vieitekumbe na waambata anapanda nao humo???mfano cdf,igp,dgtiss nk???
kama wanaenda kivyao rudi mezani tena upige hesabu.
Jumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.
Mama akomae na pipa tu.
Ngosha apumzike kwa amani, ila na u
Na Ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana
kwani alie muambia tunabana matumizi ninaniMtafutie baiskeli mkuu maana tupo katika awamu yakubana matumizi.
[emoji16][emoji16][emoji16]hauko serious kabisa.Haendi nao but hao hawasafiri na100 vieite
nime elewa hapo tuzoee hili ziara za taasisi hiyo zina garama kubwa ambazo kwanamna yeyote sirahisi kukwepeka ovaUmejibu swali lake vibaya, kijuaji na kumbe ni mtupu tu. Hiyo unayoita “holistically” ina-kuwa tu katika mji husika na kwa mfano Mwanza leo. Huwezi kusema Shinyanga au Musoma hawaendelei na shughuli zao!! Gharama za kutumia ndege pia ni zaidi ya barabara tu kwa sababu wale waliopaswa kuwa katika msafara bado watakwenda kwa ndege au barabara LAKINI na magari yao. Kwenda kwa ndege hakupunguzi idadi ya magari yanayohusika na msafara wa Rais. Kuna kitu kinaitwa “last mile”. Hiyo haitafanywa kwa ndege!!
Tuzoee hili - ziara za taasisi hii zina gharama kubwa. Ni sehemu ya kazi.
Presidential Convoy huwa ni suala la kiitifaki kwa kila safari yake, kwa hiyo huwa yapo kwa kazi hiyo kila eneo ambalo atafanya msafara.Hivi kama akisafiri kwa ndege yale magari ya msafala yanakuja kwa road au kila mkoa yapo tu wakuu?
Angeweka Wakuu wa Wilaya na Mikoa wenye Sifa, asingekuwa anatatua mambo madogo madogo kama yale