Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

Usisahau alikuwa pia anasindikizwa na helicoper mbili hewani wakati yupo na msafara wa gari zake 50 chini eeh! Yani alisevu hela kweri kweri
 
Kweli aisee..mara kwenye msafara wa magari anatokea mwananchi, akamwomba Rais amsaidie kadhulumiwa; mara mwingine tunaomba vyoo vya shule, mara mwingine,tupanulie soko.. yaani sijui viongozi wote wa chini, wanakuwa wanapokea mishahara kwa kazi zipi??? Kumbuka Rais ana majukumu mengi ya kufanya na kutatua sio mambo yote asubiriwe yeye.....


Angeweka Wakuu wa Wilaya na Mikoa wenye Sifa, asingekuwa anatatua mambo madogo madogo kama yale
 
Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji

Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Mkuu umemaliza uziπŸ‘πŸ‘πŸ‘
Mwenda zake alikuwa na v8 karibu 100 magari ya matangazo na ya ulinzi.plus hela alizokuwa anagawa njiani.
Trip moja ya mwendazake ni sawa na trip zaidi ya 20 za Mama.
 
Jumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.

Mama akomae na pipa tu.

Ngosha apumzike kwa amani, ila na ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana!
Mmh..akili za kishabiki tu.

Ukitaka usimamie nchi lazima tu upite barabara.

Soon mama ataanza.
 
Mkuu umemaliza uziπŸ‘πŸ‘πŸ‘
Mwenda zake alikuwa na v8 karibu 100 magari ya matangazo na ya ulinzi.plus hela alizokuwa anagawa njiani.
Trip moja ya mwendazake ni sawa na trip zaidi ya 20 za Mama.
Chumvi nyingi Sana.

Umemua kujidanganya hadi wewe.
 
Nani kasema kutumia gari kwenye msafara wa Rais ni ghalama nafuu kuliko ndege?

Anapotumia gari kunakuwa na msafara wa magari mangapi? Wanaoandamana naye wangapi? Mafuta yanajazwa kiasi kwa wote? Na posho zao ni kiasi gani kutia ndani kulala? Watu wa usalama wanakuwa wangapi pamoja na posho zao?

Fikiri kwa makini.
 
Mmh..akili za kishabiki tu.

Ukitaka usimamie nchi lazima tu upite barabara.

Soon mama ataanza.

Hakuna ushabiki hapo jombi. Usisahau kuwa jiwe na chopa iliendelea kuwapo angani.

Ukweli mchungu wakuu hawa kutumia barabara na hasa kwa jinsi alivyokuwa anafanya mheshimiwa Mungu, ilikuwa ni kero kubwa mno kuliko maelezo.
 
Mtoa mada umekaa ki majungu zaidi.
Wewe una hasad na mfitini.
Leta mada yako ki sayansi na si majungu hapa.
Roho za korosho zinawaumiza sana watu kama nyinyi.
Kila jambo lazima mtie neno, poor you!
 
Huyo Magu ukiacha msururu wa magari kulikua na chopa inapita juu kwa juu . yule alikua anapenda sifa za kijinga bila kujua anafilisi kodi zetu
 
Apande Basi? Muda mwingine tuwe sensible and reasonable. Stop that!
 
ujinga ni kudhani ndege inabana matumizi kuliko zile gari.

ni wivu tu unasumbua akili za wengi humu.
 
Mleta mada atakuwa na tatizo la kukrem.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Inasikitisha sana.Tangu aingie ikulu hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa tofauti na ule wa Uganda yeye ni ofisini tu atajuaje kero na maisha ya watanzania kiujumla? Hana uchungu na nchi kabisa.
Mkuu wa mkoa na wilaya +watendaji wengine wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…