Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Hesabu kupata F ndio huna akili?!Haji Manara hapo Chimala alifaulu na Amemaliza Form 5 na 6 Mzumbe,pia ana degree ya Mass Communication
 
Mkuu Umenikumbusha mbali.. Sana Enzi Za Saidi Mihogo baharia..Mihogo Chachandu kali, pembeni kuna Juice Ukwaju.. Barafu la kuvunja... Wakati huo wajanja wana enda kula canteen ya DIT.

Wakati huo Mnazi Mmoja P/S bado kuna dampo... Enzi za Mwalimu Mutasa Wapi Mtolela, Kimiro Azizi...na Ntamturano... Bila Kumsahau Madam Massawe.. Mchaga mmoja huyo ana churaa kilo mia...
 
Mtasa alikuwa anachapa fimbo hatari muhaya yule,Mtolela alikuja 1993 nadhani baada ya Chalila kustaafu,Saidi Mihogo baharia yule sijui yuko wapi
Kweli we umesoma mnazi mmoja
 
Haji kwa yale matusi aliyo nayo mwanamke gani atavumilia tabia ya hivyo kwanza amekuwa akitukana watu mitandaoni akiguswa yeye anakimbilia rangi yake kuwa anabaguliwa alafu sasa huyu jamaa anajiona kama kijana kumbe age go unabishana na vitot vya genZ mitandaoni mitusi mingi basi tu jamaa sizani kama huwaga anafikiria ilo
 
Sahihi,atafute house wife,mwanamke asiyejihusisha na na mitandao
 
Sahihi,atafute house wife,mwanamke asiyejihusisha na na mitandao
That’s my point brother. Haji anadandia hawa wadada wa mitandao. Kama kweli anataka kuoa, atafute binti wa rika, na asipende kumhusisha na mambo yake ya mitandaoni. Afanye biashara zake na mitandao, mke akirudi nyumbani akute mke wa nyumbani. Sio hao wa mara mapicha ya kwenye jakuzi, jau sana
 
Kabisa,nadhani hata famulia yake itamshauri hivyo kama kweli wanampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…