Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Kwani tumekopa kiasi gani mpaka sasa,
 
Hukuwepo wakati tunapata uhuru kwa hiyo hujui ni shule za namna gani tulizokuwa nazo hadi mwanzoni mwa miaka ya themanini. Inaelekea kwako wewe uhuru umepatikana miaka20 tu iliyopita.
 
Hukuwepo wakati tunapata uhuru kwa hiyo hujui ni shule za namna gani tulizokuwa nazo hadi mwanzoni mwa miaka ya themanini. Inaelekea kwako wewe uhuru umepatikana miaka20 tu iliyopita.
Mkuu hebu tupe kidogo madini,
 
Njaa ni kitu kibaya sana, wakati wa dikteta Magufuli pia mliongea hivyo hivyo na sasa pia mnamsujudia maushungi akija mwingine pia mtaendelea kulamba viatu.

Anyway, madarasa yamejengwa kwa hela ya mkopo wa covid 19 na wala sio pesa ya rais kama unavyotaka kupotosha.
 
Njaa inaingiaje hapo mkuu?
 
Kaa tu kusifia mafisadi wamechukua nchi. Hilo jengo halmashauri haiwezi kujenga?
 


North Korea ndio wako hivi, wanaanza kuvi indoctrinate vitoto toka vidogo...

Nyerere nae alifanya hivi, sasa tunarudi kule kule, nyimbo za CCM na Nyerere kabla ya kwenda madarasani na nyumbani...
 
Amezungumza ukweli wake
mtu mwenye upeo, mwelewa, msomi, hawezi kusimama kwenye hadhara akasalimia wakristo tu, kwa sababu jamii ina watu wa imani mbali mbali

hivyo hivyo siasa, jamii ina watu wa political persuasion mbalimbali, huwezi kuhubiri CCM kwenye hadhara ambayo haijaja kusikiliza siasa za chama chako

tulikuwa tunajaribu kujenga mfumo wa vyamba vingi... jitu lisiloelimika au lisilojua nchi hii inatoka wapi na inataka kwenda wapi ndio anaweza kuwa indoctrinate watoto wa shule wahubiri CCM hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…