Acha upu... Kukopa ukajenga madarasa hakuna MTU anayeshindwa!! Ata wewe ungekuwepo ukapewa mkopo unajenga tuu.
Tuache kusifu kijinga,kazi muhimu ni kujenga uchumi,kuinua kilimo na ufugaji,kurekebisha mtaala wetu nk. hivyo havifanyiki tunasifu MTU kukopeshwa akajengajenga!!!
Mikopomikopo kilasiku alafu badala itumike kwenye miundombinu itayorudosha fedha haraka inaenda kujenga madarasa machache huku shule zimezingirwa na adarasa chakavu mengi.
Bora wangejenga computer room nakufunga computer kila shule tz