Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Katoa yeye au IMF Heb weka record zako sawa.
Ingekuwa ni IMF imejipendekeza mbona ndugai anamsema rais asiwaponde IMF kwamba wamejipendekeza kutupa mikopo, jamani mtu akifanya jema msifu hatakama humpendi.
 
Mama ajengewe sanamu pale posta, yule askari uchwara mwenye gobole astaafishwe
 
Kwani tangu tupate Uhuru tulishapata kukatwa tozo namuna hii?
 
Shule shikizi ni zipi hizo?? Sifahamu.
 
Mmeanza mapambio. Huo ni wajibu wa serikali kutumia kodi zetu vizuri na mikopo kuendesha nchi hamna cha ajabu hapo.
 
Kumpa mtu sifa isiyo yake, inayofanya maendeleo ni serikali badala yake sifa anapewa mtu mmoja.

Hizi mambo zilithiri sana enzi za mwenda zake naona na kwa mama nako zinashupaliwa mno.
Jiue Kama vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…