Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

Kaziindelee Tanzania na Samia
 
Wanafunzi wenyewe bangi tupu siku hizi, na wale wakike kwa umalaya ndio usiseme hapa kitaa sahv kuna kitoto cha form 3 kanalazimisha kuja geto eti anasema anataka kuja kunipikia
😀😀😀


Utafungwa tukusahau jaribu utaona cha moto,
 
Kaziiendelee
 
Jenista Jembe sana alo!!
 
Naunga mkono hoja
P
 

Ona aibu, mkopo ni wa Umoja wa Mataifa, Je ni nchi gani hiyo? Mkopo umetolewa kwa nchi zote kupambana na Corona. Kwetu tukaamua kujengea madarasa ili wanafunzi wasibanane na kuambukizana Covid.
Kama tumeuza rasilimali kwanini deni la taifa liongezeke si tushawapa cobalt unayoisema?
Acheni uzushi watu wanaakili
 

Taja shule uliyosoma tuone hayo madarasa
 
acheni kujaza ujinga mbona hayo ni majengo ya kawaida Sana, nenda pale Mpwapwa kuna majengo yamejegwa toka mwaka 1922 na mpaka leo yapo na Yana facilities zote hebu punguzeni uchawa mnasifia Sana mpaka bosi wenu anashangaa

Tangu tupate uhuru soma vizuri...
 
Kusema kulikuwa hakuna Shule kama hizo sio kweli zilikuwepo tena na madirisha ya kufunga kabisa kabisa,wanafunzi wakiondoka huwezi ona ndani.
 
Shule SHIKIZI ndio shule gani hizo? mwenye ufahamu anijuze na hilo neno limezaliwa lini ?
 
huenda ikatuchukua miaka mingi kumpata mwingine mwenye upendo kama wake,


Pumbavu, kwa pesa zetu yeye ndio mwenye upendo??!!, eti mtu umemuajiri atumie pesa yako kukununulia mahitaji yako halafu useme mtu huyo anao upendo??!!😏
 
Na akaongeza huu ni mkopo nafuu haujawahi kutokea toka uhuru.
 

Hukuwakumbuka ndugu mfadhili wala wahanga wake wasiojulikana hata idadi yao:




Pumzika kwa amani shujaa jiwe.

Hii pesa ingeweza kuokoa maisha yako na wapendwa wetu wengi.
 
Ishiiiiii hakuna jipya niliko somea chekechea miaka zaidi ya 20 ilopita tena kijijini kabisa shule ilikuwa na madaqsa kama hayo na wote tulikuwa tukikaa kwenye madawati.

Marafiki zangu wa dar wamesomea kwenye magorofa miaka hiyo unakuja kutudanganya nini?
Hatuna shida na jitihada zake apige kazi itaonekana ila kwa sasa bado sana embu tuone ndani ya miaka 5 nini kitatokea.maana miaka 5 ya jpm vitu vilivyofanyiaka havikuwahi tokea tangu uhuru.

Bado nafasi ipo yetu macho.

Tunataka arudishe nidham kazini
Tunataka umeme vijiji
Tunataka adeal na majambazi na wezi tuone
Tunataka kuona miradi mikubwa iloachwa ikiisha.
Tozo za ajabu kuwatesa wananchi wakati nchi ina vyanzo vya pesa hatuzitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…