Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Ama kwa hakika.

Kizuri hakidumu.

Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.

Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.

Tunakukumbuka sana Mkuu.

Screenshot_20220825-210811.png
Screenshot_20220825-210756.png
Screenshot_20220825-210726.png
Screenshot_20220825-210446.png
Screenshot_20220825-210446.png
Screenshot_20220825-210446.png
 
Attachments

  • Screenshot_20220825-210619.png
    Screenshot_20220825-210619.png
    266.4 KB · Views: 7
Kila mmoja ana mtazamo wake kumuhusu kulingana na vile alivyoguswa/fanyiwa na Magufuli, wale wa vyeti feki hawawezi kuwa na mtazamo sawa na yule mzee alietoa zawadi ya jogoo akapewa burungutu la asante.

Hao wasio watanzania wanaomkumbuka Magufuli, wao watakuwa wanaguswa zaidi na human nature [kumkumbuka marehemu vizuri] lakini sidhani kama Magufuli aliwahi kuwafanyia chochote.
 
Kila mmoja anamtazamo wake kumuhusu kulingana na vile alivyoguswa/fanyiwa na Magufuli, wale wa vyeti feki hawawezi kuwa na mtazamo sawa na yule mzee alietoa zawadi ya jogoo akapewa burungutu la asante.

Hao wasio watanzania wanaomkumbuka Magufuli, wao watakuwa wanaguswa zaidi na human nature [kumkumbuka marehemu vizuri] lakini sidhani kama Magufuli aliwahi kuwafanyia chochote.
Umecoment ukiwa umechoka sana.
 
Kukumbukana ni jambo la heri, Kumbukizi halina madhara. Akumbukwe tu.
 
Back
Top Bottom