Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.

Never and never ever!
Mfano, 2025 chadema wakapata kura za kutosha na kuunda serikali, wewe utakuwa kwenye cheo gani.?
 
Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.

Never and never ever!
Kwani kuna Rais ambaye hajaua Tanzania? Serikali yoyote Duniani ukileta fyokofyoko na maslahi yake lazima upotee Mkuu,ata Samia mnaemsifu akijitokeza mwehu lazima aadabishwe.Nadhani Mbowe na hasa wale walinzi wake walikiona cha mtema kuni.Usicheze na kokolo linaitwa serikali!!
 
🐒🐒🐒
16409521842520.jpg
 
Tuseme kwamba ni kweli, so what! Unafanya kazi bure kijana. Hana cha kukumbukwa huyo mtu. Tatizo usukumagang unawasumbua mkidhani atarudi
Sio sukumagang tu labda umejifungia ndani huku mtaani raia kibao wanamkumbuka kwa mema kutokana na kutoelewa utawala wa sasa.
 
Yani kuna wajinga wakimuongelea Ibilisi Magufuli utadhani aliishi enzi za Nuhu kumbe ni mtu ambaye tumeshuhudia Kwa macho udhalimu wake na madhara yake yatarigharimu Taifa Kwa muda mrefu ujao.

Ukweli huwa hauitaji kutetewa, Bali ukweli unajitetea wenyewe.
 
Sio sukumagang tu labda umejifungia ndani huku mtaani raia kibao wanamkumbuka kwa mema kutokana na kutoelewa utawala wa sasa.
Wema wa kuuuwa, kubambikiza kesi, kuiba kura, kuiba pesa Za watu ?
 
Tuna kushukuru sana Magu kwa Uzalendo wako mkubwa kwa Taifa lako.
 
Nahisi kuna haja ya kutoka kivingine tu, huu wimbo umeshapoteza ladha.....haumyumbishi aliyopo (kama lengo ni hilo, na bila shaka ni hilo)
 
Nahisi kuna haja ya kutoka kivingine tu, huu wimbo umeshapoteza ladha.....haumyumbishi aliyopo (kama lengo ni hilo, na bila shaka ni hilo)
Ghana,Cameron,Mozambique, Zimbabwe,Ethiopia,Senegal,UK,Senegal,Canary Island.

Afrika na Dunia kwa Ujumla wote wanathibitisha ubora wake.
 
Alimteka mama ako? Baba ako? Kaka ako? Alikuteka wewe?

Haya na hao waliokotwa majuz ni nani aliewqfanyia unyama? Pimbi ww
Yaa Kuna watu wameokotwa kwenye viroba hivi karibuni labda Magufuli amerudi sisi hatuna habari
 
Back
Top Bottom