Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Yani kuna wajinga wakimuongelea Ibilisi Magufuli utadhani aliishi enzi za Nuhu kumbe ni mtu ambaye tumeshuhudia Kwa macho udhalimu wake na madhara yake yatarigharimu Taifa Kwa muda mrefu ujao.

Ukweli huwa hauitaji kutetewa, Bali ukweli unajitetea wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Haters wa Magufuli mna kibarua kizito sana kuaminisha watu kwamba hakupendwa wala hapendwi!

Mkuu unajisumbua bure,

Hizi hadithi zenu za kwamba alifanya vile mara hivi wasimulieni bi wakubwa zenu huko nyumbani ila raia wanajua nini kinaendelea.
 
Tuambieni kwanza Ben Saanane na Azory mliwapeleka wapi ? bado mna kesi kubwa ya kujibu nyie watu.
Vipi hawa umeshaambiwa wako wapi?

Au umejaza mavi huko kichwani?
Screenshot_20220817-164556_Chrome.jpg
20220727_205015.jpg
 
Mataahira haya mayatima Watoto wa marehemu Ibilisi Magufuli.
Wewe tunakujua ni kwa vile alikubutua akakuachia kilema!

Sasa hasira zako usituletee sisi hapa, maana ulimpelekea mwenyewe
 
Hao wajinga wachache hawawezi represent watanzania wengi tunaojua ukweli waache waandike porojo zao huko
Huja katazwa kaandike tu na wewe unachokiona ni ukweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Haters wa Magufuli mna kibarua kizito sana kuaminisha watu kwamba hakupendwa wala hapendwi!

Mkuu unajisumbua bure,

Hizi hadithi zenu za kwamba alifanya vile mara hivi wasimulieni bi wakubwa zenu huko nyumbani ila raia wanajua nini kinaendelea.
Ukweli huwa unajitetea wenyewa wala huitaji kuutetea ukweli.
 
Wema wa kuuuwa, kubambikiza kesi, kuiba kura, kuiba pesa Za watu ?
Mimi nimeeleza halo ya mitaani ilivyo huo sio mtazamo wangu bali nimenukuu maneno ya raia ,kama unaona nasema uongo panda daladala za mbagala,kariakoo au Buza kwenda mbande magengeni kisha uongee kwa sauti kubwa hayo maneno yako au anzisha mjadala wowote kuhusu Magufuli kisha sikilizia maoni ya Raia.
 
Mimi nimeeleza halo ya mitaani ilivyo huo sio mtazamo wangu bali nimenukuu maneno ya raia ,kama unaona nasema uongo panda daladala za mbagala,kariakoo au Buza kwendaå mbande magengeni kisha uongee kwa sauti kubwa hayo maneno yako au anzisha mjadala wowote kuhusu Magufuli kisha sikilizia maoni ya Raia.
Wacha kujipakazia huna haja ya kwenda popote wewe hapo ulipo utakuwa ni sukuma gang unajaribu kuliremba shetani ambalo liko Kuzimu
 
Back
Top Bottom