Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Wacha kujipakazia huna haja ya kwenda popote wewe hapo ulipo utakuwa ni sukuma gang unajaribu kuliremba shetani ambalo liko Kuzimu
Mimi tokea nizaliwe sijawahi kupiga kura na sina ushabiki wa siasa kabisa kwani najua wana siasa vigeugeu na mara nyingi wapo kwa maslahi yao binafsi.

Kwangu mimi siasa Sawa na mpira ushabiki wake ukikuingia sana mtu unapoteza akili .
 
Hasa Nyakati Hizi za kupambania bandari zetu.
 
Mimi tokea nizaliwe sijawahi kupiga kura na sina ushabiki wa siasa kabisa kwani najua wana siasa vigeugeu na mara nyingi wapo kwa maslahi yao binafsi.

Kwangu mimi siasa Sawa na mpira ushabiki wake ukikuingia sana mtu unapoteza akili .
Na ndio maana ukaja kutoa maoni kwenye JF kwa vile uko mbali na siasa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom