Mnasema anakumbukwa ila akianza kutajwa aliyoyafanya mnasema aachwe apumzike. Insane
Jabali lililoondoka wakati tukilihitaji mno. JPM rest in peace baba.Kabisa mkuu.
Mojawapo ya imani za chama cha TANU kilichozaa CCM inasema: "sisi sote ni ndugu na afrika ni moja".Alimteka mama ako? Baba ako? Kaka ako? Alikuteka wewe?
Uzuri umesema ni mb zake na sio zako,wewe mb zako kapandishie uzi wa watanzania wamefurahia tozo.Unapoteza MB zako bure [emoji51][emoji51]
Mfano, 2025 chadema wakapata kura za kutosha na kuunda serikali, wewe utakuwa kwenye cheo gani.?Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.
Never and never ever!
Kwani kuna Rais ambaye hajaua Tanzania? Serikali yoyote Duniani ukileta fyokofyoko na maslahi yake lazima upotee Mkuu,ata Samia mnaemsifu akijitokeza mwehu lazima aadabishwe.Nadhani Mbowe na hasa wale walinzi wake walikiona cha mtema kuni.Usicheze na kokolo linaitwa serikali!!Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.
Never and never ever!
Tuseme kwamba ni kweli, so what! Unafanya kazi bure kijana. Hana cha kukumbukwa huyo mtu. Tatizo usukumagang unawasumbua mkidhani atarudiAma kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
View attachment 2334887View attachment 2334888View attachment 2334889View attachment 2334891
Oops Huyu Baba Jamani Mpaka Mateke
Sio sukumagang tu labda umejifungia ndani huku mtaani raia kibao wanamkumbuka kwa mema kutokana na kutoelewa utawala wa sasa.Tuseme kwamba ni kweli, so what! Unafanya kazi bure kijana. Hana cha kukumbukwa huyo mtu. Tatizo usukumagang unawasumbua mkidhani atarudi
Dead man dont countAma kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
View attachment 2334887View attachment 2334888View attachment 2334889View attachment 2334891
Wema wa kuuuwa, kubambikiza kesi, kuiba kura, kuiba pesa Za watu ?Sio sukumagang tu labda umejifungia ndani huku mtaani raia kibao wanamkumbuka kwa mema kutokana na kutoelewa utawala wa sasa.
Ghana,Cameron,Mozambique, Zimbabwe,Ethiopia,Senegal,UK,Senegal,Canary Island.Nahisi kuna haja ya kutoka kivingine tu, huu wimbo umeshapoteza ladha.....haumyumbishi aliyopo (kama lengo ni hilo, na bila shaka ni hilo)
The best President RIP MagufuliAma kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
View attachment 2334887View attachment 2334888View attachment 2334889View attachment 2334891
Yaa Kuna watu wameokotwa kwenye viroba hivi karibuni labda Magufuli amerudi sisi hatuna habariAlimteka mama ako? Baba ako? Kaka ako? Alikuteka wewe?
Haya na hao waliokotwa majuz ni nani aliewqfanyia unyama? Pimbi ww