Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

Ghana,Cameron,Mozambique, Zimbabwe,Ethiopia,Senegal,UK,Senegal,Canary Island.

Afrika na Dunia kwa Ujumla wote wanathibitisha ubora wake.
It's over man, kama ulikuwa muziki wa reggae basi sasa ni pop na yakupasa kucheza hiyo pop.
 
Hata Hitler na Musolin bado wanakumbukwa.
Tena Hitler alikufa miaka zaidi ya sabini iliyopita lakini dunia bado inamkumbuka! Huyo Ibilisi kafa juzi tu chini ya miaka miwili iliyopita unafungua uzi. Heri hata ungefungua wa Nduli Idi Amin Dada!
 
Mleta uzi huwa hauna akili nzuri.Umetoroka kwenye "Hotel ya kifahari Milembe"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuambieni kwanza Ben Saanane na Azory mliwapeleka wapi ? bado mna kesi kubwa ya kujibu nyie watu.
 
Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.

Never and never ever!

wewe tena[emoji28][emoji28]

hata jinsia yako umeikana,una kipi cha thamani tena umebakiza??
 

mkuu madhara ambayo hayatibiki mliyoyapata nyinyi wauza matundu ni kansa ya nyuma na ngoma.

udhalimu magu alioufanya kwa watu nj kucheza sawa sawa na mashoga sugu.aisee rangi zote mliziona.
 
Walamba asali hawataki kuelewa

Hicho na KOJANI gangs

Hata siku mojaa

Lkn my best president all the time

Forget about Mwinyi ,Kikwetwe

Mkapa and Jpm ndio walioitendea hii nchi hakii

Kazi zao zinazungumzaaa vizazi hadi vizazi


Povu ruksaa

Nitajibu kwa hoja.
 
Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.

Never and never ever!
Alimuua nani? Akamteka na kumpora nani?
 
Ni kweli Samia kuna pahala anaboronga lkn hata aboronge vipi KAMWE sitokaa nimkumbuke baradhuli huyu aliyeua, kuteka,kufilisi na kupora watu.

Never and never ever!
Ndio alikuteka akaenda kukutanua ile kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…