Unaweza ukaeleza upekee wao wa kuongoza vizuri kwa sababu ya ushoga wao?Atal Behari Vajpayee na Hastings Kamuzu Banda walikuwa ni Makhanisi na walitawala vizuri.
Hayati Qaboos pia alikuwa ni mtawala asieuwa Wananchi wake.
James Buchanan Raisi wa 15 wa Amerika alikuwa Shoga mbobezi na alitawala vizuri.
I can on and on...
Hakujawahi kutokea Dikteta Shoga, na huo ndio uzuri wa Kiongozi Shoga.Unaweza ukaeleza upekee wao wa kuongoza vizuri kwa sababu ya ushoga wao?
Ufundi wa Mungu haujaanza kwa Magufuli. Nyerere,Mkapa n.k kote huko tumeona ufundi wa Mungu hata wewe usikute kuna mzazi wako Mungu kaonyesha ufundi wake.Kwakifupi tu nimalize kwa kusema Mungu ni fundi...uwe na siku njema
Mashoga nafasi yao ni kama wanawake kwa maana wana nafasi ndogo sana katika mambo, tunaweza kuelezea mengi sana yaliyofanywa na wanaume kuliko wanawake na mashoga.Hakujawahi kutokea Dikteta Shoga, na huo ndio uzuri wa Kiongozi Shoga.
Hii ni hoja toka kwako usiye kipofu, unayetegemea elimu uliyopewa na walionipofusha mimi sasa!Kwako wewe na watu aina yako facts au evidence ni vile unavyovitaka tu.
Kwenu ile process ya uharibifu imekamilika..
Alinyakuliwa🤣🤣Ufundi wa Mungu haujaanza kwa Magufuli. Nyerere,Mkapa n.k kote huko tumeona ufundi wa Mungu hata wewe usikute kuna mzazi wako Mungu kaonyesha ufundi wake.
Tanzania tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea Dikteta jambazi na mfumo dume wake, na Mungu katuletea mfumo jike unaoongozwa na Raisi Mwanamke.Mashoga nafasi yao ni kama wanawake kwa maana wana nafasi ndogo sana katika mambo, tunaweza kuelezea mengi sana yaliyofanywa na wanaume kuliko wanawake na mashoga.
Vyeti feki na waliotumbuliwa pamoja na walamba asali lazima waponde hii madaNgoja vyeti feki na walamba asali waje
Nani kaponda hii mada?Vyeti feki na waliotumbuliwa pamoja na walamba asali lazima waponde hii mada
Anawambia polisi wawache kusumbua watu na wanainchi [emoji47][emoji47]Hapo Kenya Rais wa awamu iliyopita, Bw Uhuru Kenyatta naye ni miongoni mwa waandamanaji dhidi ya Rais wa sasa Bw. Ruto!
Imagine, hata mwaka mmoja bado!
Leadership! Leadership! Leadership!
1. awe muuuhaji.. kwa wezi na wala rushwa na mifisadi... iuliwe yote.Awe kama magu lakini
1. asiwe muuaji.
2. mbambikiaji kesi watu,
3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),
4. Asiyeiba kura,
5. asiye piga watu risasi.
Labda aje awe kichwa cha familia yako.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Evidences zinajenga facts.Fact ni nini? Evidence ni nini?
Katika muktadha wa utawala wa Magufuli.
Shoga huwa anafanana na mwanamke, sasa kama teyari tuna rais mwanamke huyo shoga atakuwa na maajabu gani? sana sana awe zaidi ya mwanamke kwa jinsi anavyochukuliwa huyu rais mwanamke.Tanzania tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea Dikteta jambazi na mfumo dume wake, na Mungu katuletea mfumo jike unaoongozwa na Raisi Mwanamke.
Tunachohitaji sasa Raisi Shoga tuone nae je atatuibia fedha zetu na kumfukuza CAG?
Tena atakaeanza na wewe!Bado unatamani rais muuaji katili kama lile jitu!
Mbona unaonyesha utoto ndugu? kweli inaonyesha hampo serious kwenye hayo madai mazito ya Tanzania kuwahi kuwepo kiongozi ambaye alikuwa muuwaji, sasa hapo kinachokufanya mtu mzima na mwenye akili timamu kucheka ni kipi?Alinyakuliwa🤣🤣
Pesa zetu zimeibiwa kipindi cha Dikteta Magufuli na aliponyakwa akamfukuza CAGShoga huwa anafanana na mwanamke, sasa kama teyari tuna rais mwanamke huyo shoga atakuwa na maajabu gani? sana sana awe zaidi ya mwanamke kwa jinsi anavyochukuliwa huyu rais mwanamke.
Kuhusu pesa kuibiwa hata sasa ndio zinaibiwa vizuri tena na wengi tofauti na mwanzo, jinsia ya kike ya rais haijaweza kuzuia huo wizi bali tumeona yeye akimfukuza spika wa bunge.
Eh...!Pesa zetu zimeibiwa kipindi cha Dikteta Magufuli na aliponyakwa akamfukuza CAG
Huyu Mama pia zimepigwa fedha lakini kakubali kuwa kuna wezi na pesa zimepigwa na watu waitwao "Mastupid"
Sasa tunahitaji Shoga lenye pande mbili nalo tuone litatufikisha wapi
View attachment 2604792
Trust me Shoga anaweza kuwa Raisi mzuri kuliko watangulizi wake.Eh...!