Lol.Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"
USSR
Washindwe na watepete huko huko.
Yaani mateso tulipitia wao walifurahi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol.Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"
USSR
Wewe umejuaje hebu leta ushahidi.Hakuna shoga mwenye kumcha Mungu.
Yeah, ndiyo maana wewe utaishi milele!Kweli hakuna ubaya ndio maana nae akapunguzwa
Kunywa maji hapo ulipo nakuja kulipa.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Hata tukisimikiwa, nakuhakikishia hatuwezi kusimikiwa mshikishwa ukutaKweni huwa mnachagua au mnasimikiwa?😉
Hakuna shoga mwenye maono; acha uzwazwa wewe.I mean Shoga mwenye maono aje kumuondoa huyu Mama.
Labda Tanzania ya Burundi huko alikotokea Magufuli lakini siyo Tanzania hii. Kwa taarifa yako HATUTARUHUSU tena kiongozi mshamba na muuaji kama Magufuli atutawaleHabari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Kuna Mashoga wana IQ kubwa kuliko Magufuli, je unalijua hilo?Hakuna shoga mwenye maono; acha uzwazwa wewe.
🤔 So sad🙏Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"
USSR
Ni nani alikwambia kwamba RAIS MKALI ANAHITAJIKA?Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Ni bora anayeuwa wasaliti wa nchi hii Direct kuliko anayewauwa mamia ya Raia wake Indirect.Awe kama magu lakini
1. asiwe muuaji.
2. mbambikiaji kesi watu,
3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),
4. Asiyeiba kura,
5. asiye piga watu risasi.
Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kuchagua kuwa shoga hata siku moja.Kuna Mashoga wana IQ kubwa kuliko Magufuli, je unalijua hilo?
Unaongea kitu usichokijua.Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kuchagua kuwa shoga hata siku moja.
Kwa sababu hakuna imani ya Mungu isiyochukulia ushoga kuwa ni dhambi mbaya kabisa hivyo haiwezekani mtu akawa mchamungu halafu bado anafanya ushoga.Wewe umejuaje hebu leta ushahidi.
Imani na IQ ni wapi na wapi ndugu?imani
Wakishashiba kwa dhuluma, kupitia zile priviledge walizozipata kutokana na wizi, wanakuwa kama wananena kwa lugha hivi.Usikubali kuitwa mlalahoi, mvuja jasho, mnyonge na mengine kama hayo.
Hayo ni majina Wakomunist/Wajamaa waliwaita ili kuutweza utu wenu na kuwafanya pawns of evil.
Kwa fikra na mawazo yako hayo, wewe umefanyika kuwa silaha dhidi yako mwenyewe.
Ukombozi wako wa fikra ni hatua ya kwanza ili uwe huru kiuchumi, kijamii nk. Uchaguzi ni wako.
Aisee we we uko kundi la pili hapoNi nani alikwambia kwamba RAIS MKALI ANAHITAJIKA?
SIYO SAHIHI KABISA!
Presidency ni institution.
Institution inahitaji Systems...Functional into the best intergration...
Good Governance ni watu kupractice knowledge yao kwa uhuru,weledi na Uzalendo.
UKALI NI DALILI YA KUTOKUWA JUMUISHI NA SOMETIMES NI KWA WATU WENYE SADISTIC MINDS...AMBAO TYR TUMESHAWATAMBUA...kwamba kuna watu hawataki kuona mtu akifurahi...wanapenda kuacha kilio...huo ni uongozi mbaya!
MWALIMU Nyerere alituelekeza lakini tukajifanya hatusikii
Frankly speaking Tanzania kwa sasa tuna RAIS-The best in Africa.
Kikubwa tu ni Mihimili husika kufanya kazi zao VIZURI kwa tafsiri pana!
Tume score sana kwenye Diplomacy na Miradi yetu ya kimkakati ikikamilika itakuwa na quick Return...kwa hivo hatutahitaji tena Mikopo mikubwa!
2025 and Above Tanzania ni Taifa Jingine kabisa..CHINI YA MUENDELEZO WA TRUSTED LEADERSHIP YA SASA.
Muhimu hapa ni kuandaa Watanzania watakaoshiriki kwenye UCHUMI MKUBWA WA NCHI...
VIWANDA NA MAENEO MENGINE KAMA HAYO!
Tusijitoe ufahamu kwa kutojua tulikotoka na tulipo sasa!
Tufanye tathmini na kisha tuwe wakweli
Kisha tusaidie kwa kuelewa!