Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Kunywa maji hapo ulipo nakuja kulipa.
 
Labda Tanzania ya Burundi huko alikotokea Magufuli lakini siyo Tanzania hii. Kwa taarifa yako HATUTARUHUSU tena kiongozi mshamba na muuaji kama Magufuli atutawale
 
Mwendazake nampa credit hizi, uthubutu WA kuanzisha miradi mikubwa kama sgr, bwawa la rufiji, kuhamia Dom, n.k
Hakuwa vzr kwenye
Economic management
Diplomatic relations
Utawala WA sheria na haki za watu
Nb Hatuhitaji ukali kwenye uongozi , Bali ujenzi WA mifumo imara inayoweza kujismamia yenyewe bila kutegemea utashi WA kiongozi WA nchi.
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Ni nani alikwambia kwamba RAIS MKALI ANAHITAJIKA?

SIYO SAHIHI KABISA!

Presidency ni institution.

Institution inahitaji Systems...Functional into the best intergration...

Good Governance ni watu kupractice knowledge yao kwa uhuru,weledi na Uzalendo.

UKALI NI DALILI YA KUTOKUWA JUMUISHI NA SOMETIMES NI KWA WATU WENYE SADISTIC MINDS...AMBAO TYR TUMESHAWATAMBUA...kwamba kuna watu hawataki kuona mtu akifurahi...wanapenda kuacha kilio...huo ni uongozi mbaya!

MWALIMU Nyerere alituelekeza lakini tukajifanya hatusikii

Frankly speaking Tanzania kwa sasa tuna RAIS-The best in Africa.

Kikubwa tu ni Mihimili husika kufanya kazi zao VIZURI kwa tafsiri pana!

Tume score sana kwenye Diplomacy na Miradi yetu ya kimkakati ikikamilika itakuwa na quick Return...kwa hivo hatutahitaji tena Mikopo mikubwa!

2025 and Above Tanzania ni Taifa Jingine kabisa..CHINI YA MUENDELEZO WA TRUSTED LEADERSHIP YA SASA.

Muhimu hapa ni kuandaa Watanzania watakaoshiriki kwenye UCHUMI MKUBWA WA NCHI...

VIWANDA NA MAENEO MENGINE KAMA HAYO!

Tusijitoe ufahamu kwa kutojua tulikotoka na tulipo sasa!

Tufanye tathmini na kisha tuwe wakweli

Kisha tusaidie kwa kuelewa!
 
Wewe umejuaje hebu leta ushahidi.
Kwa sababu hakuna imani ya Mungu isiyochukulia ushoga kuwa ni dhambi mbaya kabisa hivyo haiwezekani mtu akawa mchamungu halafu bado anafanya ushoga.
 
Hii nchi vunja amri zote za Mungu ila usivunje amri ya kumi na moja [emoji116]

11. Thou shall not be caught
 
Usikubali kuitwa mlalahoi, mvuja jasho, mnyonge na mengine kama hayo.
Hayo ni majina Wakomunist/Wajamaa waliwaita ili kuutweza utu wenu na kuwafanya pawns of evil.

Kwa fikra na mawazo yako hayo, wewe umefanyika kuwa silaha dhidi yako mwenyewe.
Ukombozi wako wa fikra ni hatua ya kwanza ili uwe huru kiuchumi, kijamii nk. Uchaguzi ni wako.
Wakishashiba kwa dhuluma, kupitia zile priviledge walizozipata kutokana na wizi, wanakuwa kama wananena kwa lugha hivi.

Tayari uko kwenye nchi inayozungumzia ujenzi na matumizi ya vyoo bora, madarasa, kipindupindu, vifo vya wamama wajawazito, sio tu kutosha ila kutokuwepo kwa umeme sehemu kubwa ya nchi, njia zisizopitika, mikopo ya hovyo, KISHA unasemaje? Sio mnyonge? Sio mlala hoi?

Ukiwa unaitwa Miraji Kikwenga, Fred Lowasa, Sijui nani kingunge na the likes, uko sahihi kuzungumza hivyo
 
Ni nani alikwambia kwamba RAIS MKALI ANAHITAJIKA?

SIYO SAHIHI KABISA!

Presidency ni institution.

Institution inahitaji Systems...Functional into the best intergration...

Good Governance ni watu kupractice knowledge yao kwa uhuru,weledi na Uzalendo.

UKALI NI DALILI YA KUTOKUWA JUMUISHI NA SOMETIMES NI KWA WATU WENYE SADISTIC MINDS...AMBAO TYR TUMESHAWATAMBUA...kwamba kuna watu hawataki kuona mtu akifurahi...wanapenda kuacha kilio...huo ni uongozi mbaya!

MWALIMU Nyerere alituelekeza lakini tukajifanya hatusikii

Frankly speaking Tanzania kwa sasa tuna RAIS-The best in Africa.

Kikubwa tu ni Mihimili husika kufanya kazi zao VIZURI kwa tafsiri pana!

Tume score sana kwenye Diplomacy na Miradi yetu ya kimkakati ikikamilika itakuwa na quick Return...kwa hivo hatutahitaji tena Mikopo mikubwa!

2025 and Above Tanzania ni Taifa Jingine kabisa..CHINI YA MUENDELEZO WA TRUSTED LEADERSHIP YA SASA.

Muhimu hapa ni kuandaa Watanzania watakaoshiriki kwenye UCHUMI MKUBWA WA NCHI...

VIWANDA NA MAENEO MENGINE KAMA HAYO!

Tusijitoe ufahamu kwa kutojua tulikotoka na tulipo sasa!

Tufanye tathmini na kisha tuwe wakweli

Kisha tusaidie kwa kuelewa!
Aisee we we uko kundi la pili hapo
 
Back
Top Bottom