Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia mipakani hadi ndani ya Nchi,kwa kuhakikisha kuwa watanzania wanafanya kazi zao katika mazingira ya amani na utulivu pasipo hofu wala wasiwasi.

Embu fikiria leo hii katika Historia ya Taifa letu tunashuhudia magari ya abiria makubwa kwa madogo yakisafiri usiku kucha katika mikoa mbalimbali yakipita katika misitu ya kila aina bila shida wala kutekwa wala kitisho cha kutekwa .hii yote ni kutokana na kuwepo kwa usalama wa kutosha Nchini unaotokana na kazi nzuri na iliyotukuka ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Kumbukeni ya kuwa suala la ulinzi na usalama ni suala gumu , zito na lenye kuhitajaji nguvu kubwa sana ya uwekezaji katika kupambana na matukio yote yenye kuhatarisha usalama.embu fikiria Taifa kama Marekani lenye teknolojia ya hali ya juu kabisa,vifaa vya kisasa ,watu wenye ujuzi wa kila aina pamoja na kamera kila kona,lakini Dunia nzima kwa macho yake ilishuhudia mgombea Urais na Rais wake mstaafu Donald Trump akipigwa Risasi ya sikioni akiwa jukwaani.

Nchi Kama Tanzania yenye watu zaidi ya Millioni 61 na yenye kuzungukwa na nchi takribani 7 na ikaendelea kuwa katika usalama kama huu tunao ushuhudia pasipo matukio makubwa yenye sura ya kigaidi au wahalifu kuvuka mipaka na kuja kufanya matukio hapa nchni ,ni lazma tuvipongeze sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kuwalinda watanzania na mali zao pamoja na mipaka ya Nchi yetu.

Ni lazima tufahamu kuwa hali ipo hivyo kwa kuwa vyombo vyetu vipo macho saa 24 usiku na mchana,doria zinapigwa muda wote.ni kwa kuwa wapo askari wetu waliojitoa sadaka ya damu yao kwa ajili yetu watanzania ili tuishi kwa amani.ni kwa kuwa wapo askari wetu wanatokwa jasho ,machozi na damu kupambana na kila aina ya uharamia na uhalifu .

Tuwapeni moyo na kuwaunga mkono askari wetu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.tusiwakatishe tamaa wala kuwatukana matusi wala kuwatolea maneno machafu.haya matukio machache ya watu kupotea naamini kuwa na sote tuamini ya kuwa vyombo vyetu vipo kazini kufanya upelelezi ili wote wapatikane wakiwa hai kabisa .kikubwa tutoe ushirikiano na tujue sote ni walinzi wa Taifa letu.

Tambua ya kuwa wewe ukiwa umelala usingizi chumbani kwako na mkeo au mume wako vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinakuwa macho kukulinda wewe na mali zako.ndio maana unaamka ukiwa salama wewe na mali zako.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Lucas acha kuwachokoza walio kwenye majonzi, shauri yako ujue hii nchi si mali yako.
 
Hivi usalama Gani unaoongelea wewe?

Hivi Kwenye nchi raia asiyekuwa na hatia, anaweza akashushwa toka Kwenye basi na watu wenye "machine guns" na baadaye mwili wake ukakutwa umetupwa kichakani akiwa ameshakufa, waweza kuiita hiyo nchi bado ni salama??😳
 
Mimi nilijua unaenda kusema kwamba wslio teka Muhammad kibeo na kumuua wamekamatwa, pia mkuu umesahau kuweka number yako ya simu.
 
Uchunguzi bado unaendelea na naamini tutapewa taarifa.kikubwa tuwe na subira na tutoe ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
 
Siyo vyombo vya ulinzi wa watanzania wote. Ni vyombo vya ulinzi wa genge la wezi ndani ya CCM/serikali
 
Hata wewe muandishi hauko salama.
Wakimaliza kukutumia watakutupa kama toilet paper inavotupwa.
Jifunze kukemea pale unapoona sio sawa.

Nina uhakika ndugu zako pia hawako salama na siku ikifika utashindwa kuwasaidia Kwa kutumia uandishi wako.
 
Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Hapa Songea kijana Mmoja ajulikanae kama Justine Bonge, wiki mbili zilizopita alishambulia WATU takribani watatu Kwa mapanga eneo la LIZABON Barabara ielekeayo mbinga, alikamatwa na polisi, Ajabu jion alionekana tena mtaani na panga akiwatisha wafanyabiashara, na ameshajeruhi WATU wengi siku za nyuma.....Lucas mwashambwa nchi hii usalama ni mdogo Sana, JESHI la polisi linalinda masilah ya kisiasa ya CCM na sio usalama wa raia na Mali zao, niliwahi kuripoti tukio la uhalifu Polisi Songea Ajabu niliombwa fedha ya kwenda mkamata mtuhumiwa nikaishia hapo.......sisi tunaoishi mtaani ni wahangal wakubwa wa uonevu na dhulma inayofanywa na JESHI la polisi..
 
Hivi usalama Gani unaoongelea wewe?

Hivi Kwenye nchi raia asiyekuwa na hatia, anaweza akashushwa toka Kwenye basi na watu wenye "machine guns" na baadaye mwili wake ukakutwa umetupwa kichakani akiwa ameshakufa, waweza kuiita hiyo nchi bado ni salama??😳
Nimesema ya kuwa matukio haya machache yasifanye tukasahau kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.lakini naamini pia wahusika wote watakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.
 
Hapa Songea kijana Mmoja ajulikanae kama Justine Bonge, wiki mbili zilizopita alishambulia WATU takribani watatu Kwa mapanga eneo la LIZABON Barabara ielekeayo mbinga, alikamatwa na polisi, Ajabu jion alionekana tena mtaani na panga akiwatisha wafanyabiashara, na ameshajeruhi WATU wengi siku za nyuma.....Lucas mwashambwa nchi hii usalama ni mdogo Sana, JESHI la polisi linalinda masilah ya kisiasa ya CCM na sio usalama wa raia na Mali zao, niliwahi kuripoti tukio la uhalifu Polisi Songea Ajabu niliombwa fedha ya kwenda mkamata mtuhumiwa nikaishia hapo.......sisi tunaoishi mtaani ni wahangal wakubwa wa uonevu na dhulma inayofanywa na JESHI la polisi..
Inakuwaje mtu mmoja tu ashambulie watu na kuwajeruhi mbele yenu?
 
Back
Top Bottom