mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
Mabus yanatembea usiku wa manane kwnye mapori bila kutekwa
Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later
Usalama uko wapi hapo
Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later
Usalama uko wapi hapo