Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Polisi hatukatai kazi yao ya kulinda amani wanaifanya vizuri. Hilo nawapongeza.

Lakini kama tukiongelea haya matukio yanayoendelea kwa sasa(utekaji) wao ndo wamekua washutumiwa namba moja kama ambavyo tunahabarishwa na mashuhuda wa haya mambo kila siku.

Kwaio ikiwa wao ndo washutumiwa wakuu, basi kwa utulivu huu unaoendelea ni swala la kushukuru tu uelewa mdogo na uoga wa wananchi walio wengi kwa sababu hili lisingeweza kuvumilika kwa nchi kama Kenya.
 
Mnaua watanzania wasio na hata nyinyi CCM
 
Mungu akurehemu!! Watoto wako watakuwa na baba hasara kabisa!
 
Hata wewe muandishi hauko salama.
Wakimaliza kukutumia watakutupa kama toilet paper inavotupwa.
Jifunze kukemea pale unapoona sio sawa.

Nina uhakika ndugu zako pia hawako salama na siku ikifika utashindwa kuwasaidia Kwa kutumia uandishi wako.
Watu wa namna hii, mara nyingi huja hupatwa na madhira mabaya sana ili wajutie upofu wao. Na huo muda ukiwadia huwa hawana hata mtu wa kuwasaidia japo kuwapigia kelele. Kwa sasa maadam uovu haujawagusa, wanaotekwa, wanawaona hawana akili au hawanaubinada.u we ye thamano, hivyo kufanyiwa uharamia ni halali dhidi yao.

Mungu wetu tunaomba uwaoneshe hawa wanaoshabikia uovu na waovu, ubaya wa huu uovu uliopo nchini mwetu kwa njia watakayoielewa.

Poleni sana wanafamilia wa Ally Kibao na wa wale wote waliotekwa na vyombo vya dola, ambao mpaka muda huu haijulikani kama wanaishi au watawala walikwishawaondolea uhai waliopewa na Mungu.

Mungu wetu tunaomba uwaoneshe watawala kuawa WEWE ni Mungu wa haki, na mwenye mamlaka ya kuuondoa uhai wa yeyote ni wa kwako pekee yako.
 
Mpaka sasa waliotekwa jumla ni 106 ni matukio machache, nikwambie Lucka kuna mawili una mpango wako wa sirini sanaaa au kidogo zimecheza kichwani ila la kwanza nalipa asilimia 75
Huyo Mwashambwa kauli zake zinadhihirisha ni shetani katika umbo la mwanadamu.

Hakuna mwanadamu mwenye Roho wa Mungu ambaye haguswi na kifo cha mwanadamu mwenzake mwema, hata kama, pengine akiwa hai waliwahi kuwa na tofauti ndogo ndogo.

Lakini huyu shetani, indirectly anafurahia na kuwapongeza watekaji na wauaji. Moyoni mwake anafarijika sana na hii hali ya watu kutekwa na kuuawa.
 
Ivi humu ndani hakuna mwenye konecshen ya mtu anaye uza JINI ….. njoo dm kuna kitu nataka nifanye
 
Haya maneno nenda na kipaza Sauti stendi yoyote yaseme kwa kupayuka.
Uone kitakachokukuta.
 
Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Hayajaanza Leo wala jana. Happy ulipo Una marafiki au majirani ambazo ni Wana usalama, hivyo unafahamu jinsi gani walivowakatili.

Natilia Shaka kama una ndugu kweli.
 
Haya maneno nenda na kipaza Sauti stendi yoyote yaseme kwa kupayuka.
Uone kitakachokukuta.
Nchi yetu bado ni salama na ndio maana wetu wanafanya shughuli zao kwa amani kabisa na kufunga muda wanaotaka wenyewe. Matukio machache yasitufanye tuseme kuwa nchi yetu haina amani wala usalama
 
Angalia hii simbilisi inavyotapika mashudu
 

Kwa watu wa CCM lakini kwa wananchi wa kawaida au wapinzani hawako salama hata kidogo.
 
Salama kwa wafuasi wa CCM siyo kwa vyama vya upinzani
 
Salama kwa vigogo wa CCM na watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…