mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 996 Reaction score 2,636 Sep 13, 2024 #81 Mabus yanatembea usiku wa manane kwnye mapori bila kutekwa Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later Usalama uko wapi hapo
Mabus yanatembea usiku wa manane kwnye mapori bila kutekwa Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later Usalama uko wapi hapo
Baba Nla JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 772 Reaction score 2,505 Sep 13, 2024 #82 kelphin said: Dah kubabake nmechek kinoma Oy Baba Nla π Click to expand... Mkuu.. niko zambia Huku kuna usalama saana ππππ Vipi huko Tanzania
kelphin said: Dah kubabake nmechek kinoma Oy Baba Nla π Click to expand... Mkuu.. niko zambia Huku kuna usalama saana ππππ Vipi huko Tanzania
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Sep 13, 2024 #83 Baba Nla said: Mkuu.. niko zambia Huku kuna usalama saana ππππ Vipi huko Tanzania Click to expand... πππleta vitenge
Baba Nla said: Mkuu.. niko zambia Huku kuna usalama saana ππππ Vipi huko Tanzania Click to expand... πππleta vitenge
Baba Nla JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 772 Reaction score 2,505 Sep 14, 2024 #84 kelphin said: πππleta vitenge Click to expand... πππ Oyaaaa.. Usinichekeshe aisee π
kelphin said: πππleta vitenge Click to expand... πππ Oyaaaa.. Usinichekeshe aisee π
EEM M JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 459 Reaction score 937 Sep 14, 2024 #85 Lucas Mwashambwa said: Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Click to expand... Unataka wateke na kuuliwa wangapi ndo tupoteze imani??
Lucas Mwashambwa said: Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Click to expand... Unataka wateke na kuuliwa wangapi ndo tupoteze imani??
EEM M JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 459 Reaction score 937 Sep 14, 2024 #86 Lucas Mwashambwa said: Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Click to expand... Unataka wa wangapi ndo tupoteze imani??
Lucas Mwashambwa said: Matukio haya machache yasifanye tukapoteza imani kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Click to expand... Unataka wa wangapi ndo tupoteze imani??
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Sep 14, 2024 Thread starter #88 mutu murefu said: Mabus yanatembea usiku wa manane kwnye mapori bila kutekwa Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later Usalama uko wapi hapo Click to expand... Mabus mangapi yametekwa mjini?
mutu murefu said: Mabus yanatembea usiku wa manane kwnye mapori bila kutekwa Ila mabus yanatekwa mjini Dar tena mchana na watu wenye silaha wanachukua mtu na anapatikana amekufa few days later Usalama uko wapi hapo Click to expand... Mabus mangapi yametekwa mjini?