Hivi ile meli ya kinana ilisharudishwa toka ughaibuni?Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.
Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.
Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.
Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES
Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Lumumba wote ni wa hovyo tuHari mbaya, rudi lumumba kasome,
Nimecheka sanaaaaaaaHiyo atakuwa mhutu kama kaka mkubwa
Meno ya mbwa hayaumaniKaka mkubwa sio mhutu bwana! Zingekuwa haziivi na PK mpaka awe role model wake. Si unajua Wahutu na watusi mchezo ukoje?
Utakwisha wewe,ndooorooooboFisadi Mbowe, kwisha habari yake
Mkuu uliadimika sana.Utakwisha wewe,ndoooroooobo
Hiyo tena!!!! utakuwa nawe utakuwa Mhindi wewe.Hiyo atakuwa mhutu kama kaka mkubwa
Mkuu siunajua kuwa sasa tunaishi maisha ya kishetani?Mkuu uliadimika sana.
Vijana wa lumumba ni wachawiNasikitika kwa tunao shangilia matatizo ya watu
Hivi ile meli ya kinana ilisharudishwa toka ughaibuni?
Alikuwa kapakatika! Na android kwa mikono lainiii! Yaan vijana was Lumumba hovyo kabisa!Kajifunze kuandika. "Hari" ndio nini?
Act ina vibaraka wengiHebu mpigie simu huyu mzee maana hatutaki wapiga hela tena. Kila mtu afanye biashara halali
Chuki na visasi mnavyojenga dhidi ya wazawa wenye uwezo haitasaidia nchi kupata.Tende ni haki Acheni Kelele. Mbowe hajawekeza bongo tu kawekeza almost Afrika nzima, Dubai na uingereza sasa Wewe endelea kula matano pori yatakuua chakula cha Nyoka hichoKatika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.
Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.
Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.
Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES
Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Hali hiyo kwenye biashara ni kawaida asimlaumu JPM kwani hata sisi ambao sio wanasiasa mwajiri wetu amepunguza wafanyakazi 30 na tuliobaki amepunguza mishahara kwa 20%Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.