Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

dah! namna ya kuwaza kwa maskini wa fikra mbadala na mawazo mapya inachekeshaga sana dah 🤣
 
Ingekuwa ridhaa yetu, Ni heri tungeruhusu wazungu watutawale tu. Lakini ridhaa hiyo kwa Sasa haipo na Wala sidhani Kama inaweza kutokea Tena.

Wazungu sio wabaya kwenye maisha yetu. Wabaya Ni wabongo wenzetu ambao tumewapa ridhaa yakutuongoza lkn bahati mbaya sana wakajichomeka watu wasio sahihi na kujenga uzio ambao haiwezekani Tena kujitoa na kubaki watumwa kwenye nchi yetu wenyewe.
Hatuna chetu tena. 🤣🤣🤣 Hii imeenda.!!!
 
Technicaly si uoga ila ni fact hamna uwezo. Why 60 years after uhuru bado mnapokea misaada, mnakopa nje?
Kama ungekuwa si uwogs msingefanya hivyo but too bad dunia ya leo bila kufungua milango huendi mahali
Punguza uoga ndio maana nyumba zenu mnajaza electric fence ukuta mrefu kama gereza manondo kama jela na mlinzi majibwa ikiwa hao wanatengeneza hivyo vitu wala hawatumii magari yao wanalaza nje tu jivueni fikra za kitumwa bado unaota kupewa na mzungu ndio maana wanaleta vilainishi na bado mnavitetea!
 
Huna logic kwenye jibi lako. Badala ya kuja na facts unakuja na personal attacks, rudi kwenye hoja brother
 
Hata hao wazungu wanatutegemea pia. Ndio asili ambavyo iliumbwa na Mungu.

Tatizo sio kuwategemea wao, ni kuheshimiana. Wasijisahau wakajiona wao ni mamonita na sisi weusi ndio wanafunzi wa kawaida.

Kuambiwa ukweli lazima waambiwe, Mwalimu Nyerere aliwaambia, hayati JPM aliwaambia na sasa SSH anawaambia.
 
Kumtawala mwafrika ni rahisi sana
Kama hata vyoo mnajengewa, lini mtajitawala?
 
Watalii waao kuja wanatoke Ulaya na Marekani, wakipiga Break unazania kuna watalii kutoka Burundi au Nigeria watakao waletea pesa? Heshimuni sana Wazungu.
Bila mzungu Dunia ingekuwa sehemu hatari sana kuishi.

Watu weusi na waarabu bado hawajafikia level za kuwa binadamu kamili.

Ndio maana kutwa kucha wanaleta machafuko duniani.

Watu weusi na waarabu hawawezi kujiongoza wenyewe.

Na ndio watu wenye umaskini na ufukara mkubwa duniani.
 
Wao ni mamonita, sisi ndio wanafunzi kwani uongo?

Kwenye msiba viongozi wako wote walipandishwa usafiri public isipokuwa Miamba wachache wa dunia.
 
Wao ni mamonita, sisi ndio wanafunzi kwani uongo?

Kwenye msiba viongozi wako wote walipandishwa usafiri public isipokuwa Miamba wachache wa dunia.
Ujinga fulani kulikuza suala la kupandishwa kwenye public transport.

Tatizo la wasomi wetu wa afrika ni kujiona wadogo kwa kila linalofanywa na viongozi wao. Kwenye hiyo public transport alikuwepo pia Rais wa Ufaransa ambayo ni nchi kubwa duniani.
 
Ujinga fulani kulikuza suala la kupandishwa kwenye public transport.

Tatizo la wasomi wetu wa afrika ni kujiona wadogo kwa kila linalofanywa na viongozi wao. Kwenye hiyo public transport alikuwepo pia Rais wa Ufaransa ambayo ni nchi kubwa duniani.
Ndio uelewe kuhusu levels.

Utapata shida sana popote uwapo usipokubali hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…