Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Hizi ni Lugha za wendawazimu kutoka Kwa vibaraka wao.

Jiwe Magu aliwawashughulikia na kuwakoromea,Je Tanzania ilikufa?

Subirieni nyie vibaraka mje kushika Nchi ndio mta surrender sovereignty Kwa hao bwana zenu ila sisi haiwezi tokea.

Toka enzi ya Mwl tulikataa kupandws kichwani na Mabeberu na Sasa tunakataa.

Hongera Rais Samia,vibaraka lazima watokwe povu Kwa Ajili umewachana makavu bwana zao.
 
Diaspora wa huko wanakuangaliaje?
 
Hata Simu Na Ndege Ni Wazungu.Katika Afya asilimia Kubwa Ni Wazungu,,Madawa ya ukimwi Ni Wazungu,,Kujenga vyoo mashuleni,,.Hawa Watu kiukweli wanatuongoza Bila kujua..Wazungu wanatuongoza...
Kila Siku tunakimbilia Huko
Mpaka kipaza Sauti, Speaker na TV nyingi plus media platform zote 😑
 
Watalii waao kuja wanatoke Ulaya na Marekani, wakipiga Break unazania kuna watalii kutoka Burundi au Nigeria watakao waletea pesa? Heshimuni sana Wazungu.
Mkuu ikulu hakujawahi kuwa na njaa, njaa itaangamiza kote lakini si ikulu.
 
Africa ipo hapa ilipo sababu ya marginalization of developed countries (mbaya zaidi sasa hivi kuna shida ya mental slavery)


 
Umesema ukweli kabisa.kila kitu tunategemea wazungu.yeye mwenyewe kipindi kile anatangangaza royal tour yake uchwara alienda kufanya shopping kwenye maduka ya mabeberu sababu yeye Hana hata kiwanda kimoja Cha kutengeneza nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…