Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Hatujawahi kumuamini Beberu hata siku moja, na hatutamwamni, alidhani tuta mpatia nafasi ya uwekezaji, akaona tumepiga kavukavu akatugeuka pia hatukustuka.Mlipoambiwa na hao hao mabeberu kwamba nyie ni uchumi wa kati mlikenua meno kuanzia Buza hadi kote, ila leo wamesema asilimia kubwa kwenu nyie vilaza watupu mnaishia kuwatukana badala kufanya cha maana chochote ili muwaonyeshe nyie sio mazwazwa kama wanavyodai.
Kati ya kenya na tz ipi nchi inayosifika kwa njaa?Sema kuna kaukweli, wewe waza nchi kama Tanzania yenye raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba kila sehemu, vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote Afrika, maziwa, gesi ya kumwaga na kila ktiu lakini bado mnatajwa maskini wa kutupwa. Yaani kuna mataifa yanatoka kwa kutumia tu mojawapo wa hizo raslimali.
Hupewi vyote....uchague kimoja kati ya raslimali na akili.
Wanajipendekeza kwetu, tunawatukana, ili wakome! nani aliwaambia watufanyie utafiti?. wala hatuna haja ya kuwaonyeshea uchumi wetu, wakae kwao na sisi tukae kwetu kimya tuone nani zaidi, Tatizo mnawaogopa sana nyie, wakiwaita nyani mnashangilia!Mlipoambiwa na hao hao mabeberu kwamba nyie ni uchumi wa kati mlikenua meno kuanzia Buza hadi kote, ila leo wamesema asilimia kubwa kwenu nyie vilaza watupu mnaishia kuwatukana badala kufanya cha maana chochote ili muwaonyeshe nyie sio mazwazwa kama wanavyodai.
Blah! blah! is a simple and primitive respond to a tough and sensible arguments. Kenya has nothing good to admire, apart from your Slave master support.Blah blah blah blah, Go tell that to ua low IQ brothers
In this electronic age u'r still embracing notorious Slave Masters in a shameful way, they dare smoke screening you in a broad day light dat, '' your IQ is so high than the rest of fellow Africans en u rejoice it'' for real...Blah blah blah blah, Go tell that to ua low IQ brothers
Wanajipendekeza kwetu, tunawatukana, ili wakome! nani aliwaambia watufanyie utafiti?. wala hatuna haja ya kuwaonyeshea uchumi wetu, wakae kwao na sisi tukae kwetu kimya tuone nani zaidi, Tatizo mnawaogopa sana nyie, wakiwaita nyani mnashangilia!
Siku wakiondoka mnakufa wote
Hujui Hx yetu! sisi siyo Maskini wao wana psychological torturing kutumia neno umaskini, narudia tena Misaada tulikataa kitambo, tuna amini misaada ina hatarisha uhuru wa Mtu. wanatulazimishia misaada, ili tushindwe kujitegemea, tunajua kuwa wanajua wanatuhitaji sisi.Maskini jeuri, hivi unafahamu bajeti yenu ya taifa kuna kiasi kikubwa hutegemea kuzungusha kibakuli kwa mabeberu, hehehe tenda wema nenda zako yaani Miafrika unasaidiwa ila unaishia kutukana na kuzaliana, kwanza ndio mumeambiwa myatue watoto kabisa.
Hujui Hx yetu! sisi siyo Maskini wao wana psychological torturing kutumia neno umaskini, narudia tena Misaada tulikataa kitambo, tuna amini misaada ina hatarisha uhuru wa Mtu. wanatulazimishia misaada, ili tushindwe kujitegemea, tunajua kuwa wanajua wanatuhitaji sisi.
Kuzaliana siyo dhambi, wala kosa, tunaweza kuzalisha! nyie hamwezi, mpaka wake zenu wanawadharau, wanakuja huku. ili taifa liendelee linahitaji vitu 4
Raslimali watu ikiwa ni mojawapo, utawapataje bila kuzaliana? shule ulikariri kariri tu wewe! na ndivyo walivo wadanganya? tuna vitu ambavyo wao hawana wakae kwao mbona wanatufuata? mnashangilia adui halafu mnajiona mna akili?
Man, don't even get mistaken... hakuna cha utafiti wa mabeberu wala nini! Kuna ki-Blog uchwara kimoja kinatoa vi-test vyake; mtu ukifanya, nchi yoyote utayoandika kwamba unatoka, wanaingiza marksi zako huko! And it's unregulated tests.Utafiti wa kibeberu huo! lazima yafanye hivyo kwa sababu yanawatumia, ujinga ambao TZ walikataa! Akili gani wakati Al shaabab anakimbiza mkuu! Kenya na jeshi looote hilo mkuu mnashindwa kudhibiti chokoraa! wasio na nchi?
Unaona wanavo ogopa TZ/ wakienda huko watapigwa na wadada wa shule tu. / Mfano Moi na Nyerere nani ana akili za kuheshimika Duniani?
Hii pumba imetoka kwa raia wa Kenya. Na bado, awamu hii haitaki kabisa dharau za kipuuzi.The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.
IQ which is a shortened term for intelligence quotient is a measure of human intelligence. A high IQ indicates that a person is intelligent. A low IQ indicates that a person is of lower intelligence and that person can usually be identified by how they approach discussions or arguments.
An IQ score refers to a value that measures intelligence levels. Shorthand for intelligence quotient, IQ scores typically reflect the quality of education in certain parts of the world, as well as the accessibility and resources available to people in those geographic regions. When looking at the average IQ scores of each country, you will notice that areas of the world with lower IQ scores are less developed and poorer than countries with higher IQ scores.
The IQ map shown shades each country depending on the how high the average IQ score is. A higher IQ score is indicated by a darker shade of violet.
There is a range of average IQ scores across the globe. All of the countries have been divided into ranked categories based on their average IQ scores. The lowest IQ on average in the world is 59, while the highest is 108.
The country with the lowest IQ score, on average, is the Equatorial Guinea in Africa. Those who reside in The Equatorial Guinea have an average IQ of 59, which is 49 points lower than the average IQ of Singapore and Hong Kong.
IQ testing takes place around the world, and this data has been compiled to rank the most intelligent nations based solely on IQ. According to the most recent data, Singapore and Hong Kong have the the highest IQ scores in 2019 of 108. South Korea has the second-highest IQ score of 106, followed by Japan and China with an average of 105.
However, it’s important to remember that IQ isn’t the only measure of intelligence. Nations can also be ranked based on factors such as school test rankings or the number of Nobel Prizes won throughout the years. For example, Singapore has the highest IQ but is not considered the smartest nation in the world. That honor goes to Japan, which is ranked more highly in school test rankings and the number of past Nobel Prizes awarded
Wewe omba omba nyamaza. Sio wewe hua nakupita na kibakuli begging from Kenyans.Wacha ujeuri yako nani na tunawasaidia sana.In this electronic age u'r still embracing notorious Slave Masters in a shameful way, they dare smoke screening you in a broad day light dat, '' your IQ is so high than the rest of fellow Africans en u rejoice it'' for real...
Kenyans you are walking dead comfortably en enjoy it.
Kwani hazitumiki?? Hawa mabeberu si kila siku wanafanya production,mzee!Rasilimali ni zetu, nchi ni yetu, kama hatuna uwezo wa kuzitumia kwasasa, watazitumia watoto na wajukuu zetu, hatuna haraka. Mdogo mdogo mtaelewa tu kwamba sisi ndiyo Super power
Waganda wangekuwa na IQ kubwa kwa mujibu wa kipimo hiki wasingemwacha muheshimiwa atawale kwa kipindi kirefu namna hiyo,The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.
IQ which is a shortened term for intelligence quotient is a measure of human intelligence. A high IQ indicates that a person is intelligent. A low IQ indicates that a person is of lower intelligence and that person can usually be identified by how they approach discussions or arguments.
An IQ score refers to a value that measures intelligence levels. Shorthand for intelligence quotient, IQ scores typically reflect the quality of education in certain parts of the world, as well as the accessibility and resources available to people in those geographic regions. When looking at the average IQ scores of each country, you will notice that areas of the world with lower IQ scores are less developed and poorer than countries with higher IQ scores.
The IQ map shown shades each country depending on the how high the average IQ score is. A higher IQ score is indicated by a darker shade of violet.
There is a range of average IQ scores across the globe. All of the countries have been divided into ranked categories based on their average IQ scores. The lowest IQ on average in the world is 59, while the highest is 108.
The country with the lowest IQ score, on average, is the Equatorial Guinea in Africa. Those who reside in The Equatorial Guinea have an average IQ of 59, which is 49 points lower than the average IQ of Singapore and Hong Kong.
IQ testing takes place around the world, and this data has been compiled to rank the most intelligent nations based solely on IQ. According to the most recent data, Singapore and Hong Kong have the the highest IQ scores in 2019 of 108. South Korea has the second-highest IQ score of 106, followed by Japan and China with an average of 105.
However, it’s important to remember that IQ isn’t the only measure of intelligence. Nations can also be ranked based on factors such as school test rankings or the number of Nobel Prizes won throughout the years. For example, Singapore has the highest IQ but is not considered the smartest nation in the world. That honor goes to Japan, which is ranked more highly in school test rankings and the number of past Nobel Prizes awarded
Deposit iliyopo ni kubwa na hicho kinachokuwa extracted sasa ni kidogo, hopefully nimekujibu kwa level yako ya IQ below 50Kwani hazitumiki?? Hawa mabeberu si kila siku wanafanya production,mzee!
Tunatumia moja tu n tunawalisha, tukitumia 3 si tutaanza kuwazalisha hata dada zenuNow I can understand why these Tanzanians are always dump.
View attachment 1554896
Hizo ni chuki zenu binafsi na wivu wa kike! Mabeberu wamewafundisha kuchukia wa Africa wenzenu ili mnyonywe vizuri, na hamtaacha hiyo tabia sababu mnawaabudu ni miungu yenu,Misaada mliikata ilihali mpaka leo mnaipokea na kuzungusha kibakuli.