eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #21
hawa tunawahitaji sana kwenye uwaziriRostam. Turki, Shabibi, Abood, Gulamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa tunawahitaji sana kwenye uwaziriRostam. Turki, Shabibi, Abood, Gulamali
hujawahi kuanzisha kitu chochote kikafanikiwa, unawezaje kuongoza nchi kwenye mafanikio? tusidanganyaneHuu mtazamo wa ''kitanganyika'' kuwa ukifanikiwa private sector wewe ni mwizi ni muhimu sana japo mara nyingi siyo hivyo. Na mimi sisemi kuwa kila mfanyabiashara ni mwizi au hawezi kuongoza. Lengo langu ni kumwonyesha mwanzisha thread kuwa siyo lazima ukifanikiwa kwenye biashara basi wewe ni kiongozi mzuri. Vivyo hivyo, utajiri haumaanishi kuwa utakuwa kiongozi mbaya. I mean nataka tujikite kwenye tatizo linasababisha hasa tunashindwa ki-uongozi na tusipotoshe. Turudi kwenye katiba nzuri tuache kupotosha.
kumbe sio watanzaniaHao wenye Asili ya Asia achana nao Kabisa, Hawafai hata kuzifikia Top position, Sisi tunaongelea Watanzania
Siyo lazima kuanzisha. Urais unahitaji mtendaji mzuri mwenye maono. Tusidanganyane.hujawahi kuanzisha kitu chochote kikafanikiwa, unawezaje kuongoza nchi kwenye mafanikio? tusidanganyane
Unajua maana ya uongozi. Kama wananchi wana changamoto ni juu yako kuwaongoza. Unajua ninyi mmelemazwa na huu uongozi wa CCM ambao rais na viongozi wanakuwa pale kwa manufaa yao. Huijui dunia wewe ndiyo maana. Kiongozi mzuri ni yule anayejua udhaifu wa anaowaongoza na kuurekebisha. Ni nini sasa maana ya uongozi kama hujui kinachowasibu watu wako na kurekebisha?Kumbuka katiba inaendeshwa na watu.Mnaweza kuwa na katiba nzuri sana na sheria nzuri lkn utayari wa wananchi wenyewe kuanzia kiakili - kichwani na kimtazamo kutekeleza hayo maelekezo inaweza kuwa changamoto.
Unakumbuka kesi ya kina Mbowe na suala la PGO??.Utaratibu upo lkn haufuatwi - mambo yanakaa kwenye makabrasha tu..
Pia mtu aliyesimamia biashara akatoboa na kuikuza ikawa kitu kinachosaidia maisha ya watu wengi - usifikiri ni mtu mwepesi hata kidogo.Kuanzia uwezo wa kuhimili taabu, mateso, uwezo wa kujiongoza au kuongoza wengine, uwezo wa kuwa na maomo na kuyasimamia licha ya vishawishi vingi na pressure hasi kutoka ndugu, jamaa na marafiki.
Mtu kama huyo kumuweka serikali tena ambapo tayari kuna miongozo atapush parefu sana - real life experience usicheze nayo.
Naona mama alianza kawatoa watu private huko na kuwaleta serikalini..lengo ndo hilohilo kuleta nidhamu ya kazi, kufanya kazi kwa malengo etc..na sio bora liende tu..
Mwenye maono atajulikana vipi? Au ni kumchomeka kwenye uongozi kwanza halafu ndiyo tujue kama ana maono au hana? Na wakati huo tunakuwa hatuna tena uwezo wa kumgusa,tutamjuaje before?Siyo lazima kuanzisha. Urais unahitaji mtendaji mzuri mwenye maono. Tusidanganyane.
Mkuu kwani katiba inaweza kutumika na viongozi waliolelewa na mfumo wa kuteuliwa tu, na haiwezi tumika kwa hao waliofanikiwa private sector?Huu mtazamo wa ''kitanganyika'' kuwa ukifanikiwa private sector wewe ni mwizi ni muhimu sana japo mara nyingi siyo hivyo. Na mimi sisemi kuwa kila mfanyabiashara ni mwizi au hawezi kuongoza. Lengo langu ni kumwonyesha mwanzisha thread kuwa siyo lazima ukifanikiwa kwenye biashara basi wewe ni kiongozi mzuri. Vivyo hivyo, utajiri haumaanishi kuwa utakuwa kiongozi mbaya. I mean nataka tujikite kwenye tatizo linasababisha hasa tunashindwa ki-uongozi na tusipotoshe. Turudi kwenye katiba nzuri tuache kupotosha.
sawa kabisaUnajua maana ya uongozi. Kama wananchi wana changamoto ni juu yako kuwaongoza. Unajua ninyi mmelemazwa na huu uongozi wa CCM ambao rais na viongozi wanakuwa pale kwa manufaa yao. Huijui dunia wewe ndiyo maana. Kiongozi mzuri ni yule anayejua udhaifu wa anaowaongoza na kuurekebisha. Ni nini sasa maana ya uongozi kama hujui kinachowasibu watu wako na kurekebisha?
Professor Kishimba. Hakuanzia kwenye ubunge?Mo kabla ya kuwa mbunge wa Singida 2005 alikuwa ameshapata ukurugenzi wa MeTL na ameshanunua makampuni kibao yaliyobinafsishwa na mkapa
Sina uhakika kivile...
ni hatari sana kupima maono ya mtu akiwa madarakani. wakati hajawahi kutuonesha kwa vitendo namna ya kufanikisha jambo.Mwenye maono atajulikana vipi? Au ni kumchomeka kwenye uongozi kwanza halafu ndiyo tujue kama ana maono au hana? Na wakati huo tunakuwa hatuna tena uwezo wa kumgusa,tutamjuaje before?
asante mkuu kwa elimu kedekedeMkuu kwani katiba inaweza kutumika na viongozi waliolelewa na mfumo wa kuteuliwa tu, na haiwezi tumika kwa hao waliofanikiwa private sector?
Marais wazuri wengi huwa ni wale walitokea private sector na hawakuwa na ukiritimba, team za maswahiba wakuwalipa vyeo, njaa njaa na kutozoea luxury, wamezoea delegation of power uko kwenye makampuni yao, wamezoea kufanya mambo kwa malengo na kujipima mafanikio au hasara, sio washamba. Mtu aliyedumu serikalini miaka 30 hawezi kuleta mageuzi akiwa Rais, kayajulia wapi?
Nikupe mfano mwingine, jeshi la Marekani mara nyingi halichagui kamanda ambaye alifukuza mke, alitelekeza mtoto, alimpiga mke, alitishia kuua, aliwahi kulewa akaendesha gari. Unajua kwanini?
Kama kulea familia ya watu wanne unaowalisha mwenyewe tu huwezi, vipi tukikupa command ya brigade nzima yenye silaha kali na wanajeshi wakorofi ambao umewakuta?
Kama ulilewa ukaendesha gari na ni kinyume cha sheria, that means unaweza kuwa na abuse of power tukikupa.
Kama ulikuwa unapiga mke, maana yake una temper sasa ukiongoza ndegevita zenye mabomu ya nyuklia itakuwaje?
Ndio maana Marekani ina Rais mmoja tu aliyekuwa bachelor, na ni mojawapo ya Marais wao wa hovyo kuwahi kutokea, na ndiye alisababisha American civil war. Baada ya hapo huwezi kuwa eti unaogopa kuoa (kuongoza mtu mmoja) alafu unataka tukupe nchi ngumu USA uongoze.
Katika mambo madogo mengi na experience ya mtu tunaweza jua tabia yake itatufaa kiasi gani. Bila hivyo tunajikuta na Rais ambaye ni rahisi kumtuhumu alipiga mtu risasi akiwa ikulu.
Rais Gerald Ford ni watu wawili tofauti na bilionea Henry Ford. Rais Ford hakuwa bilionea wala mfanyabiashara bali career politician.Mtazamo mbaya wa Kitanganyika kwamba ukifanikiwa kwenye private sector wewe ni mwizi.
Marekani imewahi ongozwa majenerali wazuri wastaafu, wanasheria wakubwa, wafanyabiashara na hadi sasa Rais mteule ni mfanyabiashara, bondia kama Abraham Lincoln, mwigizaji wa filamu kama Ronald Reagan na hawa wote walifanikiwa kwenye fani zao.
Hufyatuki uko ukagombea Urais na hujawahi fanikiwa kwenye jambo lolote ulilofanya. Wala huji kugombea wakasema wewe ni tajiri hivyo ni mwizi, Rais Ford alikuwa billionaire na alifanya sera nyingi nzuri zinazohusiana na sheria za kazi. Hata sheria ya siku 5 za kazi, saa 8 za kazi, siku mbili za weekend aliianzisha yeye huku wakosoaji wakiipinga vikali.
Ford aliianzisha kwenye kiwanda chake, Ford akiwa mmiliki wafanyakazi wake waliweza jenga nyumba, miliki gari na kulea familia huku mama akiwa wa nyumbani. Wamefuata Marais hao unaoita sio wezi wakaharibu.
Israel viongozi wao hasa Waziri Mkuu aliwahi fanikiwa kwenye jambo lao kuu, ulinzi na usalama.
Sasa sisi mtu alikuwa UVCCM, mjumbe wa sijui nini, kaimu, mkuu wa wilaya, boom Waziri alafu leo Wizara ya Afya, kesho Wizara ya Michezo na kote uko hajui kitu.
Sahihi, tatizo ni katiba zaidi.Ku-run nchi na kuendesha mradi ni vitu viwili tofauti. Kwanza wengi ya hawa wenye miradi ni watu wa shortcut na wamepata mafanikio kwa njia haramu. Tanzania tunahitaji katiba nzuri ili tuwe na urahisi wa kuchagua kiongozi mzuri na kumuondoa iwapo atazembea.
Huu ni mtazamo potofu sana, kuongoza nchi ni tofauti sana na kuendesha kampuni.Mkuu kwani katiba inaweza kutumika na viongozi waliolelewa na mfumo wa kuteuliwa tu, na haiwezi tumika kwa hao waliofanikiwa private sector?