The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Changamoto ndogo sana hizi hasa ukizingatia nchi za dunia 3 zinatumia mifumo yao mingi sana ya manual. TISS wa siku hizi kazi yao kuvaa suti nyeusi na miwani kama wachomelea mageti
Kama una hiyo video nipasie au kama uliiona mahari nipe linkTecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Ile picha imepigwa kwa kutumia simu .Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Naunga mkono wazo lako mkuu. Ndani ya chama wote hamuwezi kuwa kitu kimoja, ni lazima kutakuwa na makundi yenye mitazamo tofauti. Hivyo unapoamua kutumia makada kama combo cha usalama ni lazima wengine wawe watiifu kwa makundi fulani ndani ya chama au nje ya chama ambayo hataki sambamba na wewe. Chukulia mfano Membe alivyotoka CCM alfu ukute kuna makada ndani ya TISS ambao walikuwa wanakuelewa ni lazima taarifa zivuje tu[emoji3525].
Nimegundua humu Jf kuna watu mnajitahidi kujadili msaada ambazo pengine zimepita uwezo wenu wa kufikiria.TISS ni kubwa sana tofauti na mnavyofikiria. TISS ni dubwasha moja lenye mgawanyiko mkubwa ndani yake. Ndani ya TISS kuna kitengo kinaitwa PSU (Presidential Security Unit) ambao hao uliowataja kwa kuwaita wanyarwanda ni miongoni mwao, na upatikanaji wao ni tofauti kabisa na mnavyofikiria.Kuyajaza ma uvccm ndio kulikoleta hali hiyo wacha wavune walichopanda . Halafu kuna yale yaliyokuwa yanamlinda toka kwa Kagame vp bado yapo ?
Hao watu waliokuwa wanamtibu raisi wengine nasikia walikuwa wanatoka MNH nao walikuwa ni tiss ,kwa nini tusiamini hao manes na dr walivujisha siri hizoNi kweli aisee kama huyu kenge kazipata wapi habari za kuwa rais kavutankama sio hao hao tiss!?
Jamani hivi kwa nini taasisi nyeti namna hii itumike kisiasa? sikatai huenda wanasiasa nao wakawa miongoni mwao lakini siyo sahihi mtu aliyeibuka from nowhere na kuanza kujihusisha na siasa za majitaka zinazokihusisha chama kikongwe na vyama vingine labda kutokana na hulka yake ya kuongea kwa sauti kubwa na kutukana wapinzani wake wa kisiasa matusi makubwa na kutoa vitisho ndo iwe sifa kuu ya kuwa TISS....haiwezekani taasisi inayohitaji watu makini wenye weledi wa hali ya juu ianze kunajisiwa na wanasiasa na kuendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa..TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
wakifanyia kazi hii idea. hili shirika litabadilika. na waliunde in such a way wanasiasa hawataweza kuingilia kazi zake1. Kama hakutakuwa na kutenganishwa kwa muingiliano wa moja kwa moja baina ya serikali (viongozi wa kisiasa) na TISS... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo...
2. Kama kutaendelea kuajiri watu wa kitengo kwa kuangalia chama na undugu... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo
3. Kama hakutokuwa na uundwaji mpya wa kitengo kwa ujumla... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo...
UZALENDO UANZE HAPA KATIKA KUHAKIKISHA TUNAIRUDISHA TISS ILIYO BORA ZAIDI.
wafanye haraka before its too late. maana hii taasisi inapelekwa kisiasa.Kweli kabisa, inaonekana kuna moles Ikulu wanao vujisha siri za Serikali kwa media na watu ambao hawa husiki.
Nakumbuka vizuri kwenye miaka ya 70s Mwalimu Nyerere alifanya mageuzi makubwa kwenye taasisi ya usalama wa Taifa kwa kuwatimua kazi ghafla maafisa wengi wa usalama wa Taifa na ku-recruite wengine wapya - mjomba wangu alikuwa mmoja wa victim wa zoezi hilo, nilimkuta nyumbani kama mtu aliye nyeshewa mvua ya mawe - hakuamini kilicho msibu.
Sasa na Rais Suluhu Hassan kuna umuhimu wa kuifanyia reshuffle kubwa taasisi hii nyeti na kuijenga upya kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Hata na mm nimehisi ni walizi pale camera inapoonyesha sura mara bili yaan alifika mwisho akageuzaInaweza kuwa hakutumia smart phone maana quality yake hyo video, it's like katumia maybe camera za saa au mawani na anaweza kuwa mmoja hata ya hao walinzi raia wakawaida ni ngumu kurecord
simple. kwanza hiyo account ina operate 24/7 hrs. in real sense.. hakuna mwanadam ana stay online na kufanya hayo yote kwammiezi yote hiyo.Elaborate with vivid examples
Wengi ni uvccm na wasukuma wameingizwa kwa wingi ktk utawala wa dikteta JPMTISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
and why siri zimeonekana kuvuja sana awamu hii? awamu zingine mbona haya mambo hayakuwepo?Wengi ni uvccm na wasukuma wameingizwa kwa wingi ktk utawala wa dikteta JPM