Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Nchi hii sijui nani wakumwamini maana picha imenifanya kushindwa kulala
Mimi niko 31 old, ila honestly sijazoea kabisa kuona maiti. Jana nimejitahidi kujisahaulisha ili nilale.
 
Mimi niko 31 old, ila honestly sijazoea kabisa kuona maiti. Jana nimejitahidi kujisahaulisha ili nilale.
Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
 
Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
Sema wewe nae kiherehere, kilichokufanya utake kuiona hiyo picha/ video ni nini !?🀣🀣🀣
 
Wataaalamu wa Tanzania wanaaanza uchambuzi wao, kila Mishe wanaijua wao hahahaha haha hahaha hahaha
 
Yawezekana wewe unataka wenzako wote ili rahisi kupata nafasi ya kazi ikulu πŸ˜€
 
Yaani JPM aliombee taifa hili akiwa wapi? Kuzimu au akiwa anawaongoza malaika? Mapungufu makubwa na chuki zake dhidi ya wanaotofautiana nae kimtazamo ndio zimesababisha Ufa mkubwa, aendelee kuwachapa risasi wanaomkosoa
 
Nchi hii sijui nani wakumwamini maana picha imenifanya kushindwa kulala
Yaan mm nilivyo muaminifu mpaka nikawaza ningepata nafasi ya kumlinda magu angefurahi. Nimeamini kikulacho ki nguoni mwako.

Wewe unadhani nani anampa kogogo taarifa? Ni hao hao
 
Hii information source sio reliable 100% tena
Siyo reliable? Anasakwa na mfumo, anaweza akawa siyo 100% lakini akawa 95% ambayo ni bora kuliko Majaliwa, Chalamila, balozi wa Tanzania Namibia, Mwigulu na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu
 
Mkuu, Tafakuri yako ni nzuri sana ila namimi ngoja nichangie kwa kiasi awali ya yote Jemedari Apumzike salama hakika taifa limepoteza kiongozi shupavu na Hodari sana, Ku link kwa taarifa za Ikulu kunaweza kutazamwa kwa namna mbili kwanza mzee alikuwa anapenda sana kuwa karibu na watu wengi mfano ziarani mwake ilikuwa sio ajabu kuona Top officials karibu wote wako kwenye msafara yani ministers,Wakuu wa vyombo vya ulinzi kuanzia CDF,IGP,DG Tiss, CGI na CGP wote hao walikuwa close na mzee muda mwingi kiasi kwamba a single day missing lazima wata notice tu sasa kitendo cha kuwa attached na watu wengi tayari ni hatari na Kuzuia kuvuja kwa siri ni ngumu Rais ni taasisi natambua ila sio kila mara lazima iwe attached na watu wengi kiasi hicho, Pili mama asiruhusu Kabisa Inner circle yake ichanganyike na Inner circle ya mwenda zake (JPM) afanye overhaul kubwa na experts wapewe room as consultants tu, Achukue tu watu wapya kabisa
 
Sema wewe nae kiherehere, kilichokufanya utake kuiona hiyo picha/ video ni nini !?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilutumiwa video naona wajeda sikujua what's inside aisee,si ndo nakuta msure aisee, nilishtuka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…