Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Niliwahi kusema siku moja. Aliyeasisi mchezo huo wa kuingilia/kudukua mawasiliano ya watu,.....ipo siku mchezo huo utageuka upande wake.
 
Hii inanifanya niamini sasa hata taarifa za kuugua na kifo cha Magufuli huenda Lissu alipewa na wasaidizi wa mama Samia?
 
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Sielewi hawa vijana wanalindaga nn yaani kuna vijana unakutana anasema TISS uwezo wake tu wa kufikiri ni mdogo sana
 
Dah mama yetu Mungu akulinde na kukutia nguvu kuliongoza taifa letu,ikiwezekana safisha nyumba yote ,maana kwakweli haipendezi siri za nyumba yetu tukufu zikivuja kiasi hich ,Mungu muongoze Raisi wetu mama Samia
 
Huwezi kuzuia kuvuja kwa taarifa, kwa sababu ya kujua kuwa teknolojia. Mfano gari la kubeba maiti za rais zilionekana mchana kweupe ikitoka maeneo ya Lugalo kuelekea maeneo ya Makumbusho, watu wakapiga picha na kusambaza kwa kasi ya mwanga, wakaunganisha dots na kuanza kujua what goes on. Ingekuwa zamani na Simu zetu za phillips taarifa zaisingesambaa hivyo.. Halafu taarifa nyingi zilizovuja zilikuwa na maslahi kwa taifa. Sio kila mtu anapenda wachache wake nchi, Ndio maana wanaanika uozo
 
Zakamwamoba, nakubaliana na wewe ila kwa sababu tofauti na wewe.

Wewe unaona maadui kila mahala, mimi siwaoni hao maadui wengine unavyowaona wewe.

Maadui halisi ni hao hao unaodhani wanafanya kazi vizuri lakini kazi zao zinavujishwa na "maadui."

Adui mkubwa ni kukosa umakini katika jambo unalofanya.

Unafanya jambo huku hufuati utaratibu, miiko ya kazi hiyo; tayari wewe ni adui mwenyewe, huhitaji adui mwingine toka nje.

Kwa hiyo nakuomba, acha kulaumu na kutafuta adui asiyekuwepo. Himiza kazi za serikali zifanyike kitaratibu kama inavyotakiwa.

Kwenye kipindi cha Magufuli, siyo pekee aliyeweka taratibu pembeni, hata waliokuwa chini yake walianza kuachana na taratibu na kuanza kukata kona, ili mradi liende.
 
Kuyajaza ma uvccm ndio kulikoleta hali hiyo wacha wavune walichopanda . Halafu kuna yale yaliyokuwa yanamlinda toka kwa Kagame vp bado yapo ?
 
share video ili tihakiki usemacho
 
Eeenh,

Sasa kuna jambo gani la maana kuzuia mwili usipigwe picha? Alikufa kwa ajali mbaya hadii sura yake ikaathirika?
 
Jamaa anapiga supana huko ni nouma Sana , anaonyesha mpak charting za magroup ya ulinzi na usalama ...kwenye uchaguzi wa makamu wa Raisi kasimamia ukucha kwel kwel ...... Inavyoonekana watu wake wa karbu ni watu wa ikulu
Duh! Sasa hii ni hatari kwa taifa. Inaonesha kuna udhaifu mkubwa sehemu fulani
 
Umeongea point sana.. sio TISS tu sekta nzima ya utumishi inaajiri kwa kigezo cha u ccm ndo mana kunakuwa na watumishi wasio na uwezo.
 
Sasa walikuwa wanafanya siri ili nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…